lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu lilpyynx - 0piumodi

Loading...

[intro]

[verse 1]
naskia very bad nakuaga msmall nikiwa mdogo nilipotea kwa umati
love story iligeuka urazi, mambo ya mapenzi niliachia wazazi
uh, kwan’ mnafanya nini? ni ka mmekosa kazi
back in 2015, hadi sik~mbuki nilikuwa sijiradi

[pre~chorus]
hii stance huskii inatepa ni kama this year nimegeuka bad boy (bad boy)
in the end kwa streets sina pesa na~lead kama bad example (example)
incase nikose kutokea muambie my mum anitumie za fare (fare, fare)
juu of late nimekuwa ‘don’t care’ still juu ya urazi of course hii kiburi nazoea

[chorus]
opium na odi ndio fom
opium na odi ndio fom
opium na odi ndio fom
najua hii ni rage rap usiniboo
opium na odi ndio fom
opium na odi ndio fom
opium na odi ndio fom
hakuna esto haitumiagi ndom
opium na odi ndio fom
opium na odi ndio fom
opium na odi ndio fom
najua hii ni rage rap usiniboo
opium na odi ndio fom
opium na odi ndio fom
opium na odi ndio fom
hakuna esto haitumiagi ndom
[verse 2]
i don’t argue with toxic n~gg’s nifungie mdomo we hypocrite (shh)
your advice za kutulia ni vitu zingine hazisaidii my g
na props tuna~rob tu ovyo mf~ko tumejaza ma~oreo (oreo, oreo, oreo)
zabe tuna~watch ball alafu one opp~boy anageuza aerial

[verse 3]
drickens hana morale ni ka ana lawama venye yeye ni big stepper
independent kushinda hii country one~man army no cap no ngepa
weed cookies na chai ya ketepa alizimia kwa bash aliseswa
sk!lls za beckham kwa game ya miereka stay your place utachekwa

[pre~chorus]
hii stance huskii inatepa ni kama this year nimegeuka bad boy
in the end kwa streets sina pesa na~lead kama bad example
incase nikose kutokea muambie my mum anitumie za fare
juu of late nimekuwa ‘don’t care’ still juu ya urazi of course hii kiburi nazoea

[chorus]
opium na odi ndio fom
opium na odi ndio fom
opium na odi ndio fom
najua hii ni rage rap usiniboo
opium na odi ndio fom
opium na odi ndio fom
opium na odi ndio fom
hakuna esto haitumiagi ndom
opium na odi ndio fom
opium na odi ndio fom
opium na odi ndio fom
najua hii ni rage rap usiniboo
opium na odi ndio fom
opium na odi ndio fom
opium na odi ndio fom
hakuna esto haitumiagi ndom
[verse 4]
high school ilikuwa jokes sai ni day one nishaibiwa socks
contagious pox ya manyani sounds fake cartoon ya goldilocks
ndio kutoka jela mzing ushaskia buru ndio inapurura stocks?
stay safe beware, kwa mtaa kwa streets kuna ma~cunning fox (yoh)

[verse 5]
mnadaisha beef kwa screen, let’s be real tuifanye kwa streets
mme~lose content to the point that mnaibia~ga youtube kids
wahenga walisema wakanena nafanya sh~t yangu na~do my sh~t
speak sense utaomoka hii genre inawahi bila ku~involve 666 (666)

[verse 7]
kwa hii game mi na~fly too high mnakula makuku nakula ma~hawks
shawty dms akiuliza grades yangu ‘cs atakula tu block
kuna difference ya ku~admire na ku~stalk unamfuata four hours hadi block
fala alikuja aka~mock alipigwa salamu za kichwa na rocks (weeoh)

[verse 8]
chunga ye ni snitch, ni opp ni wa ma~cop ali~lose~ingi hope
alipandisha mbogi kwa rover subaru juu wote walikuwa~ga na locs

[verse 9]
aliniambia niache ku~visit si ye ndio ana~hate ni mukoro anateta
raima nilikuwa~ga captain depa ma~duty alikuwa an~z~hepa (hepa)
standing on business na~build up my fortune, ma~n~gga wanacheka (haha)

(sikuwaweka)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...