
lirik lagu lilmaina - saa sita
(luigi got the sauce boy)
[intro: lilmaina]
ni saa sita expressway na dinga
dem ananicall anadai ati naringa
she wan f~ck juu ya greencard na visa
ju kila napoenda jina yangu nawakilisha
[verse: lilmaina & ybw smith]
ndani ya keja ni mamoshi
who are you ni watoto wakorofi
ni mara ngapi nimeongelea makofi
and it’s not the drink it’s just how i reason (alaaa ah)
[verse: ybw smith]
take it slow, manze take your time no rush
jibambe everytime of your life
na usiwaste time, this time uko na chance
leo ndo ile siku nimeamka nikiwa head sina time
mkwela anadai nimcuff, relax
alisema brown ndo tuff, rough
bro ukipiga lap anajinice
hii sound ni ya watoto wakorofi w~n~learn
[pre chorus: lilmaina]
na watu wote wanawonder, wonder
kila day namtaka, taka
take it slow no haraka, raka
mi ndo mwalimu kwa darasa, rasa
[chorus: lilmaina]
cheki baby basi shake it
shakе shake shake it, hizo huh huh
shake shakе shake it, hizo huh huh
shake shake shake it, hizo huh huh
huh huh huh
[verse: danski]
cheki manze kila mtu anakatika
mbona manze umeeka ngwai kwa shisha
you deny me ndo uende jo kwa peter
vitu ni different achana na social media
usitrust kile watu wanapost
chunga manzi kwanza anapenda raw
hizo ndo vitu manze zitakucost
toka hapa kwanza manze we ni hoe
[pre chorus: lilmaina]
na watu wote wanawonder, wonder
kila day namtaka, taka
take it slow no haraka, raka
mi ndo mwalimu kwa darasa, rasa
[chorus: lilmaina}
cheki baby basi shake it
shake shake shake it, hizo huh huh
shake shake shake it, hizo huh huh
shake shake shake it, hizo huh huh
huh huh huh
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu bsterthegawd - fang
- lirik lagu raging slab - so help me
- lirik lagu huge l (fin) - ensin
- lirik lagu pat-ek!! (canadian rapper) - pullin' up to mars
- lirik lagu el canijo de jerez, sfdk & morodo - juanito manoverde
- lirik lagu grimzworld - rrod (feat. 83hades)
- lirik lagu yo gabba gabba! - i love flowers
- lirik lagu eminem - and go berserk (
- lirik lagu stephen babcock - leaving the party
- lirik lagu aquila packing - bahala na lang