
lirik lagu lilmaina - fom after fom
skiza, uh uh uh uh, skiza
[verse: lilmaina]
everyday is day full of blessings
niko na mbogi kama wizkid no stressing
cash, girl alafu wikendi is straight flexing
dem akikuacha nyakua mwenye uliacha pending
forever grateful na – no stressing
ironical alikuacha uko vexing
the way you whine your body baby is perplexing
fanya ile kitu tulifanya jo ilikuwa amazing
[pre chorus: lilmaina]
mbona nisiende club na home haisaidii
walikata chrome sai wako highspeed
macho imedim na kiuka chinese
ni hao,– hizi ni gani?
mbona nisiende club na home haisaidii
walikata chrome sai wako highspeed
macho imedim na kiuka chinesse
ni hao,– hizi ni gani?
[chorus: lilmaina]
so ni form after form after form
hushiki simu manze tenje iko on
hizi ni ngoma manze si hu~sing along
na kama imekubamba basi rudia hii song
so ni form after form after form
hushiki simu manzе tenje iko on
hizi ni ngoma manze si hu~sing along
na kama imеkubamba basi rudia hii song
[verse: lilmaina]
so skiza, i’m the young flexer
unafanya ufala mbele ya watu to impress her
buda ka ni gari mi nachukuanga imprezza
cheki venye daily niki~ na apply pressure
kama safaricom si unajua sisi twaweza
never let her tell you that you can never replace her
social media kwanza hii kitu iko na pressure
weka simu chini skiza doba toka lesser
[pre chorus: lilmaina]
mbona nisiende club na home haisaidii
walikata chrome sai wako highspeed
macho imedim na kiuka chinesse
ni hao,– hizi ni gani?
mbona nisiende club na home haisaidii
walikata chrome sai wako highspeed
macho imedim na kiuka chinesse
ni hao,– hizi ni gani?
[chorus: lilmaina]
so ni form after form after form
hushiki simu manze tenje iko on
hizi ni ngoma manze si hu~sing along
na kama imekubamba basi rudia hii song
so ni form after form after form
hushiki simu manze tenje iko on
hizi ni ngoma manze si hu~sing along
na kama imekubamba basi rudia hii song
[bridge: lilmaina]
nacheki ni form after form after form
hushiki simu manze tenje iko on
hizi ni ngoma manze si hu~sing along
na kama imekubamba basi rudia hii song
nacheki ni form after form after form
hushiki simu manze tenje iko on
hizi ni ngoma manze si hu~sing along
na kama imekubamba basi rudia hii song
[outro: lilmaina]
mbona nisiende club na home haisaidii
walikata chrome sai wako highspeed
macho imedim na kiuka chinesse
ni hao,– hizi ni gani?
mbona nisiende club na home haisaidii
walikata chrome sai wako highspeed
macho imedim na kiuka chinesse
ni hao,– hizi ni gani?
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu chernoburkv & creepymane - royal flush
- lirik lagu mc ster - na hora h
- lirik lagu driia - my lover's mind
- lirik lagu endllcheri⭐︎endllcheri - a happy love word
- lirik lagu deerhoof - blood on the floor
- lirik lagu brand nubian - slow down (pete rock's newromix mix)
- lirik lagu luvdakash - планктон (plankton)
- lirik lagu udo jürgens - bruder, warum hilfst du mir nicht?
- lirik lagu cherry locket - unlock it
- lirik lagu robi (rou) & denis râmniceanu - șik