
lirik lagu lilmaina - doba imewai
[intro: trio mio & lilmaina]
uh huh
(fire fire fire)
[verse: lilmaina]
nacheki ndo huyo mimi ninaenter
bado zimerunda niko jaba na matemper
kushoto kulia wako maji wamebebwa
konyagi imeshika nimenyanya nasurender
aiii nacheki
[pre chorus: lilmaina]
ruka juu mpaka mkono ubanjuke
ongeza debe mpaka speaker zipasuke
chafua meza mpaka mawaiter washtuke
na wakileta vita ita bouncer awarushe
[chorus: lilmaina]
doba imewai, doba imewai
doba imewai
zimeshika zimerunda
i can testify
doba imewai, doba imewai
doba imewai
zimeshika zimerunda
i can testify
[verse: lilmaina]
ah~ah siskii fiti
mbona nikunywe pombe na ngwai ni fifty
fear no man mimi sitishiki
hapo tu, hapo tu aki nyashinski
na cheki, you can’t see me aii john cena
cheki circle yangu iko full of winners
mi naguza legendary we beginner
narudia narudia aii mi ndio winner
[pre chorus: lilmaina]
ai nacheki
ruka juu mpaka mkono ubanjuke
ongeza debe mpaka speaker zipasuke
chafua meza mpaka mawaiter washtuke
na wakileta vita ita bouncer awarushe
[chorus: lilmaina]
doba imewai, doba imewai
doba imewai
zimeshika zimerunda
i can testify
doba imewai, doba imewai
doba imewai
zimeshika zimerunda
i can testify
[verse: trio mio]
zimeshika zimerunda i can testify
mpaka njoki wa mutura anakaa wedding bride
ndo umekuja na msupa who can tell this guy
manzi wako nitamkula kama cherriepie
aai doba zimewai
kama tea kwa magomba tunakimbiza ma ngwai
mamnguna wanarombosa we unatingisha mayai
ka uko solo na hauna mtu, we enda umedi ndani ya ndai
[pre chorus: trio mio]
ruka juu sahau shida na ubanjuke
ongeza debe mpaka spinje zipasuke
chafua meza mkurungezi wak~mbuke
na wakileta zogo si uite bouncer wak~mbuke
[chorus: lilmaina]
doba imewai, doba imewai
doba imewai
zimeshika zimerunda
i can testify
doba imewai, doba imewai
doba imewai
zimeshika zimerunda
i can testify
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu max gurbanli - carnival
- lirik lagu пол пунш (pol punsh) - вино (wine)
- lirik lagu メロキュア (melocure) - めぐり逢い (meguri ai)
- lirik lagu lapcy - yalandı hissettiğin
- lirik lagu esteban rojas & finesound music - cielo triste
- lirik lagu natalie shamoun - glass
- lirik lagu allanberrymusic - shutdown
- lirik lagu cash3mere - timati
- lirik lagu duckwrth - i'm stressed
- lirik lagu don airey - moon rising