lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu leteipa the king - mi amor

Loading...

#intro
mhhhhhh iyeeeiih
mhhhh ni vampk
(realtym musik) 254
lalalalaaaaaa
mhhhhhhh

#verse
sijifikirii
kile ninawaza ni mapenzi ya tv
iyeeiyeiyeeeh
we ndo habibi
chombo chajiuza hauhitaji cv
mhhhhhh
nitukane ntavumilia
ukitaka nipige
bora usije nikimbia
kuna kabet nimeekelea
we subiri tushinde
dunia nitakubuyia
#hook
you are my kipande
every sunday i’ll pray
ili usiniache one day
monday mpaka friday
ntaja nikukande
hata kaweekend ntastay

#chorus
(mi amor)
tabasamu lako ni dawa
linaniponya
(mi amor)
sina mwingine ni wewe tu..
(mi amor)
hisia zangu zinanipanda
nikikuona
(mi amor)
sina mwingine ni wewe tu…

#verse
tabasamu lako
na sura yako
umbo lako, nimenogewa
(nimenogewa)
na sio vako
nimedata kwako
nipe siri zako, ntakuekea
(ntakuekea )
nina kuahidi, milele
nitakushikilia
na kwenye baridi
nitakufunikia
nitajitahidi mahitaji
nieze kukutimizia
hata ikibidi, nguo ntakufulia

#hook
you are my kipande
every sunday i’ll pray
ili usiniache one day
monday mpaka friday
ntaja nikukande
hata kaweekend ntastay

#chorus
(mi amor)
tabasamu lako ni dawa
linaniponya
(mi amor)
sina mwingine ni wewe tu..
(mi amor)
hisia zangu zinanipanda
nikikuona
(mi amor)
sina mwingine ni wewe tu…

#outro
tabasamu lako ni dawa
linaniponya
(mi amor)
sina mwingine ni wewe tu..
(mi amor)
hisia zangu zinanipanda
nikikuona
(mi amor)
sina mwingine ni wewe tu…


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...