lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu lempop - daily

Loading...

intro
i am a survivor…. (daily… daily)
its your boy lempop wats uup…. yeep (ooh.. daily)

[verse i; lempop ]
napiga mishe zangu daily
kuna kupata na kudhurumiwa, daily
huku mtaani roba zinakabwa, daily
wezi wanauawa na tunaibiwa, daily
sitaki ngono maisha yananigonga, daily
elewa somo mjinga usiwe punga, daily
ukiuza sura utachoma mafuta, daily
unapiga kura bado unadanganywa, daily
tumuombe mungu watu tunakufa, daily
mimba wanatoa na watoto wanatupwa, daily
ukiuza mwili binti utatumiwa, daily
hutaki kupendwa wenzako wanapendwa, daily
ruka ruka utarukwa na dili, daily
tunapenda kufaulu mipango inafeli, daily
ewe kiongozi huwezi kutuongoza, daily
hata demu mzuri huwezi tongozwa, daily

[chorus; steve rnb]
it’s daily every day, kila siku yanatokea … tokea aaah!
it’s daily every day, mambo mengi tunapitia… pitia aah!
mengi tunayavumilia hisia, ila ndani tunaumia aah!
mengi tunayavumilia hisia, ila ndani tunaumia.. dailyyyyyy

[verse ii; lempop]
kama hauna mipango utabaki masikini, daily
hutaki shamba na mjini foleni, daily
ngoja ngoja haileti mshiko, daily
zinaundwa tume na ufisadi upo, daily
ukimwi kifo na unasambazwa, daily
uza skendo bongo ubaki star, daily
onga studio pesa nyimbo ichezwe, daily
tanesco kazi ni kukata umeme, daily
ukweli upo uongo unatamba, daily
kiburi nyodo huo ndo ushamba, daily
wenye vitambi rushwa inatafunwa, daily
mungu mmoja ila dini zinakuja, daily
jifanye mbishi ubaki unabishana, daily
vyeti unavyo na ajira hupati, daily
ukiishatoka masnitchi watadis, daily
mi nikifoka hiphop itabaki, daily

[chorus; steve rnb]
it’s daily every day, kila siku yanatokea … tokea aaah!
it’s daily every day, mambo mengi tunapitia… pitia aah!
mengi tunayavumilia hisia, ila ndani tunaumia aah!
mengi tunayavumilia hisia, ila ndani tunaumia.. dailyyyyyy

[verse iii; lempop and steve rnb]
thanks god for today
the past days was worse like daily
and i hope for tomorrow like you said
whoo sei,… steve say…
napenda tabasamu daily
wasionipenda nawapa poleeee.. pole
n-z-di shine daily
kila siku nawaza mbeleee… mbele
mziki usonge mbeleee
daily daily inazaa milelee.. yeeeah
oooh dailyyyy
inazaa mileleee eeeiyh!!!

[chorus 2; steve rnb]
it’s daily every day, kila siku yanatokea … tokea aaah!
it’s daily every day, mambo mengi tunapitia… pitia aah!
mengi tunayavumilia hisia, ila ndani tunaumia aah!
mengi tunayavumilia hisia, ila ndani tunaumia.. dailyyyyyy

Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...