lirik lagu lbk nandeboy - mawazo
(verse 1)
juwa nami mina wivu
moyo w~ngu wa nyama siyo wa chuma
siyo wa chuma
nasiyo kwamba sina lakusema
juwa minamengi yakusema yana niumaaa
k~mbe yule unaye ita daddy
ndiyo wako sugar daddy
kama kuachana imebidi
kama kuachana imebidi
nilikuwa nikidhani nimepata
k~mbe nimepatikana
nilikuwa kwako nikijiona sujja
k~mbe kwako sina maana
(chorus)
ni mawazo muniache nilewe
jamani ni mawazo
ni mawazo muniache nilewe
jamani ni mawazo
(verse 2)
yote sawa kama kuwa single sawa
sawa nami nitazoea sawa
kila kitu kina mwisho
nami nimekubali matukiyo
ndomaana kidogo changu
nikikupa hausemi asante
k~mbe unawale wanao kupa vingi
kwani wana miliki vingi
kidogo changu cha jasho
napo kupa waleta miyeyusho
waleta miyeyusho
haufikiri ya kesho
nilikuwa nikidhani nimepata
k~mbe nimepatikana
nilikuwa kwako nikijiona sujja
k~mbe kwako sina maana
(chorus)
nimawazo muniache nilewe
jamani ni mawazo
nimawazo muniachе nilewe
jamani nimawazo
(versе 3)
mapenzi nita yaona tu kwa movie
mapenzi nitayaona kwa wengine
mapenzi nitayaona kwa wenzangu
yaani mapenzi mapenzi hii
mapenzi yame nifanya mushenzi
mapenzi mapenzi hii
yaani mapenzi mapenzi hii
mapenzi yamenifanya mushenzi
mapenzi nime ya vulia shati
nilikuwa nikidhani nimepata
k~mbe nimepatikana
nilikuwa kwako nikijiona sujja
k~mbe kwako sina maana
(chorus)
ni mawazo muniache nilewe
jamani ni mawazo
ni mawazo muniache nilewe
jamani ni mawazo
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu bevnie-mvn - friendzoned
- lirik lagu circle of contempt - filth
- lirik lagu metal slug - southside shawty
- lirik lagu guccisteel_ - nelzya
- lirik lagu i, the machine - æon
- lirik lagu endi (yungendi) - 16
- lirik lagu anton urspruch - erwartung
- lirik lagu wendell ruan - someday
- lirik lagu evdeki saat - acı ve istırap
- lirik lagu cuffed up - finer things