lirik lagu lava lava - ngekewa
[verse 1]
ridhiki mafungu saba
leo name napumua
sasa mambo si haba
mungu kapokea dua
kule kukabwa kabwa
wallah angeniua
k~mbe matamu mahaba
leo ndonimegundua
[pre~chorus]
pili pili ya moyo kuniwasha
vurugu makasiriko nilishindwa zoea
alikuaga kafiri
mpenda anasa
mie machozi mafuriko huruma akunionea
sasa nacheza kidari pooo
namitomito chumbani
insta tunamrusha roho
yule jini subiani
twamaliza sebure choo
michezo ya nje ndani
tupendane waumwe roho
vingedere vinyani
[chorus]
mana kukupata wewe
kama ngekewa ngekewa
kama ngekewa ngekewa
mwenzako kukupata wewe
kama ngekewa ngekewa
mimi kuwa na wewe
kama ngekewa ngekewa
abiria nachunga muzigo w~ngu
[verse 2]
nitamganda kama kupe kwamito namajabari
poleni vishakupe mlosema hatufiki mbali
rogeni mchana kweupe nampande juu ya dari
presha ziwapande ziwashuke mkalazwe hospital
solo solo namanyamanyama napewa
kongoro supu ya mbuzi bandama nachewa
viporo hanipi vinanikwama elewa aaaah
[pre~chorus]
pili pili ya moyo kuniwasha
vurugu makasiriko nilishindwa zoea
alikuaga kafiri
mpenda anasa
mie machozi mafuriko huruma akunionea
sasa nacheza kidari pooo
namitomito chumbani
insta tunamrusha roho
yule jini subiani
twamaliza sebure choo
michezo ya nje ndani
tupendane waumwe roho
vingedere vinyani
[chorus]
mana kukupata wewe
kama ngekewa ngekewa
kama ngekewa ngekewa
mwenzako kukupata wewe
kama ngekewa ngekewa
mimi kuwa na wewe
kama ngekewa ngekewa
abiria nachunga muzigo w~ngu
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu tiny boost - gabriel moses
- lirik lagu fhop music - ó noite santa
- lirik lagu fly anakin - socks over the smoke detector
- lirik lagu tianastácia - o grito
- lirik lagu cowpen slim - t/error (tr-808 cut)
- lirik lagu krysmelon - 100 reasons
- lirik lagu sonia stein - anomaly
- lirik lagu joseph mcfashion - ball up top
- lirik lagu juan karlos - suob
- lirik lagu skinwalkerjim - jim