lirik lagu lady jay dee - yahaya
(instrumentals)
[chorus]
yahaya unaishi wapi?
kwani jina lako halisi nani?
yahaya, eh
(oh, yahaya, oh, yahaya, oh yahaya)
maskani yako kinondoni
nyumba namba haijulikani
yahaya, eh
(oh, yahaya, oh, yahaya, oh yahaya)
yahaya unaishi wapi?
kwani jina lako halisi nani?
yahaya, eh
(oh, yahaya, oh, yahaya, oh yahaya)
maskani yako kinondoni
nyumba namba haijulikani
yahaya, eh
(oh, yahaya, oh, yahaya, oh yahaya)
[verse 1]
huyu kijana mwenzetu kila siku tupo nae maskani
anakula ofa za watu, anapoishi hata hapajulikani
tumetafuta, tumeuliza, ‘hakuna ajuaye
anavyo zuga, anavyo pita, si umdhaniaye
na hafanani kabisa na fix anazofanya
akidanganya kwa kina, unaingia kingi, unafata
k~mbe hana hela
(longolongo nyingi)
[chorus]
yahaya unaishi wapi?
kwani jina lako halisi nani?
yahaya, eh
(oh, yahaya, oh, yahaya, oh yahaya)
maskani yako kinondoni
nyumba namba haijulikani
yahaya, eh
(oh, yahaya, oh, yahaya, oh yahaya)
yahaya unaishi wapi?
kwani jina lako halisi nani?
yahaya, eh
(oh, yahaya, oh, yahaya, oh yahaya)
maskani yako kinondoni
nyumba namba haijulikani
yahaya, eh
(oh, yahaya, oh, yahaya, oh yahaya)
[verse 2]
kwa stori za vilingeni
utafikiri kweli yeye ndio bosi
suruali zake na mashati
anasema anafanya kazi benki
mara anasema usalama wa taifa
hakuna ajuaye
[kalubandika] wa kizazi kipya
usomdhaniaye
[hook]
na hafanani kabisa na fix anazofanya
akidanganya kwa kina, unaingia kingi, unafata
k~mbe hana hela
(oh, yahaya)
[post~chorus]
yahaya unaishi wapi?
kwani jina lako halisi nani?
yahaya, eh
(oh, yahaya, oh, yahaya, oh yahaya)
maskani yako kinondoni
nyumba namba haijulikani
yahaya, eh
(oh, yahaya, oh, yahaya, oh yahaya)
yahaya unaishi wapi?
kwani jina lako halisi nani?
yahaya, eh
(oh, yahaya, oh, yahaya, oh yahaya)
maskani yako kinondoni
nyumba namba haijulikani
yahaya, eh
(oh, yahaya, oh, yahaya, oh yahaya)
(instrumentals)
[hook 2]
mara anasema usalama wa taifa
hakuna ajuaye
[kalubandika] wa kizazi kipya
usomdhaniaye
[hook 3]
na hafanani kabisa na fix anazofanya
akidanganya kwa kina, unaingia kingi, unafata
k~mbe hana hela
[outro]
yahaya unaishi wapi?
kwani jina lako halisi nani?
yahaya, eh
maskani yako kinondoni
nyumba namba haijulikani
yahaya, eh
yahaya unaishi wapi?
kwani jina lako halisi nani?
yahaya, еh
maskani yako kinondoni
nyumba namba haijulikani
yahaya, eh
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu pussyslayer - унитазный композитор (toilet composer)
- lirik lagu björk - characteristics inherent in the music of iceland (interview)
- lirik lagu revere apollo - rest
- lirik lagu not dvr - offurchest
- lirik lagu rhea raj - digital babe (tamed version)
- lirik lagu coupons - tongues
- lirik lagu drag-on - krutoi872
- lirik lagu айсикет (aysiket) - sms
- lirik lagu roomtrash6 & johnnyfuu - no me rayes mas
- lirik lagu il profeta - ultima lacrima