lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu lady jay dee - pumziko

Loading...

[mwanzo]
uuuhh, aaahhh

[kibwagizo]
mwambie wataka kuja
huru apate kuachia
maamuzi yako upande
bila kua wake upande

huoni we wateseka
kwake ni kama mateka
wahitaji pumziko
nipo kwa ajili yako

[ubeti 1]
njoo nikupe fundisho
achana na vyake vituko
nipo kwa ajili yako
njoo upate pumziko

[ubeti 2]
umkalishe kitako
sema nae taratibu
hii nafasi ni yako
usijitie aibu
kwani na mimi mwenzako
nasubiri kukutibu
sitochoka kusubiri
hadi unipe majibu

[chorus]
mwambie wataka kuja
huru apate kuachia
maamuzi yako upande
bila kua wake upande

huoni we wateseka
kwake ni kama mateka
wahitaji pumziko
nipo kwa ajili yako

[daraja 1]
njoo nikupe fundisho
achana na vyake vituko
nipo kwa ajili yako
njoo upate pumziko

[ubeti 3]
hana mapenzi juu yako
kwake yeye miyeyusho
wahitaji suluhisho
achana na vituko
nini anataka kwako
muulize akuueleze
sitochoka kusubiri
hadi unipe majibu

[kibwagizo]
mwambiе wataka kuja
huru apate kuachia
maamuzi yako upande
bila kua wake upandе

huoni we wateseka
kwake ni kama mateka
wahitaji pumziko
nipo kwa ajili yako

[daraja 2]
njoo nikupe fundisho
achana na vyake vituko
nipo kwa ajili yako
njoo upate pumziko

mmhhh, aahh, aahh
mmmhh, aahh, aahh
mmhhh, aahh
[kibwagizo]
mwambie wataka kuja
huru apate kuachia
maamuzi yako upande
bila kua wake upande

huoni we wateseka
kwake ni kama mateka
wahitaji pumziko
nipo kwa ajili yako

[kimalizio]
mwambie wataka kuja


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...