lirik lagu lady jay dee - ndoto yangu
[verse 1: lady jaydee]
kila ninacho ona
ni ndoto yangu
kila hatua niliofikia
ni ndoto yangu
kila nilicho omba, ah
ni ndoto yangu
kila hatua niliofikia
ni ndoto yangu
…
[verse 2: rama dee]
kila kiu yangu, eh
wewe ndio yangu champagne
you’re the one i love, yeah
ndoto yangu, nilale
[verse 3: lady jaydee]
you’re my one and only
hakika, kituo ni hapa
hujanifanya nikonde
nanenepa ukiwa hapa
[pre~chorus: lady jaydee]
kila hatua
mwisho wa ndoto ni hapa
mola anajuwa
you’re my one and only
[chorus: lady jaydee]
ndoto yangu
mimi kuwa nawe, we
nafsi yangu
mi kuwa nawe, we
ndoto yangu
mimi kuwa nawe, we
nafsi yangu
mi kuwa nawe, we
[hook: lady jaydee & both]
you’re my one and only
usinifanye nikonde, hey
[verse 4: rama dee]
tulitembea pamoja
kuif~kuzia hii ndoto
tulipigana pamoja
kuikaribia hii ndoto
tuliamini, amini
tukakubaliana
mi nawe
ndoto yangu, ndoto yako
ndoto yako, ndoto yangu
mafanikio tuliyo nayo
si bahati, ni mipango
baby
[pre~chorus: lady jaydee]
kila hatua
mwisho wa ndoto ni hapa
mola anajuwa
you’re my one and only
[chorus: lady jaydee]
ndoto yangu
mimi kuwa nawe, we
nafsi yangu
mi kuwa nawe, we
ndoto yangu
mimi kuwa nawe, we
nafsi yangu
mi kuwa nawe, we
[outro: lady jaydee & both]
you’re my one and only
usinifanye nikonde, hey
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu christina perri - twinkle twinkle little star
- lirik lagu marked for deletion - push the switch
- lirik lagu rhita nattah - wahya
- lirik lagu claudemir tavares - ciúmes da amiga
- lirik lagu house boat - i live directly across the street from the outback steakhouse
- lirik lagu zoe jean fowler - out of the blue
- lirik lagu خالد علي - marrasi - مراسي - khaled ali
- lirik lagu lil mg (usa) - on that hustle
- lirik lagu free siah - free funky
- lirik lagu 454 - hoodway