lirik lagu lady jay dee - na iwe
[intro]
[?]
[verse 1: lady jaydee]
utokapo na uingiapo
na uendapo, ah ooh
baraka n~z~kufate
kila uendapo
uketipo, usimamapo na ulalapo
ah, ooh
[pre~chorus]
na iwe
na iwe
na iwe
na iwe
[chorus]
na iwe (ooh)
siku ya baraka
na iwe
siku ya amani
na iwe (ooh)
siku ya upendo
na iwe
(na iwe)
[verse 2: lady jaydee]
mibaraka tunapokea
tunashukuru sana
kutuinua na kutupenda
unatupenda sana
mw~ngaza na kupwa
nuru twaiona njiani
tusimame, tukusifu
[pre~chorus]
na iwe
na iwe
na iwe
na iwe
[chorus]
na iwe (ooh)
siku ya baraka
na iwe
siku ya amani
na iwe (ooh)
siku ya upendo
na iwe
(na iwe)
[verse 3: maunda zorro]
umeonyesha upendo wako
juu yetu
ukafanya neno liwe njia
kati yetu
maisha yetu, baraka zako, wewe baba
nitakusifu, kukuabudu daima
maisha yetu, baraka zako, wewe baba
nitakusifu, kukuabudu daima
[pre~chorus: maunda zorro]
na iwe
na iwе
na iwe
na iwe
[chorus: maunda zorro & lady jaydee]
na iwe (ooh)
siku ya baraka
na iwе
siku ya amani
na iwe (ooh)
siku ya upendo
na iwe
(na iwe)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu henry purcell - they that go down to the sea in ships
- lirik lagu krystal evette - out of reach
- lirik lagu being dead - rock n' roll hurts
- lirik lagu carlos berlanga - sueños
- lirik lagu diem.mp3 - 2k24
- lirik lagu peu heise - num instante
- lirik lagu chito rana$ - upstate coke boy
- lirik lagu somehow hollow - monuments
- lirik lagu half waif - shirtsleeves
- lirik lagu lotti - rogue