lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu lady jay dee - kupendwa raha

Loading...

[intro: mr. blue]
hold my hand
babylon bizzy
okay, yo
uh, uh
jaydee

[verse 1: lady jaydee]
kupendwa raha bana
hata mikunjo kunjo kwa sura imeisha
na tabasamu la nivisha ujana, ah
kwa raha ya penzi bwana
nakuona kama maji ya bahari kwa mwili
(?) ari na shai kwa penzi, eeh
mi nimekuwa mwepesi kwako
kusema “nakupenda wewe”
kwa hapo zamani hili neno kusema ni mpaka niwe high, high, high, high

[pre~chorus]
kwako niko huru, sijihami
niko huru, huru
nishike mkono
nivushe ng’ambo nyingine
nivushe, oh
nishike, oh
tufike, oh
pamoja
nishike mkono
nivushe ng’ambo nyingine
nivushe, oh
tuvuke, oh
tufike, oh
pamoja
[verse 2: mr. blue & lady jaydee]
eh!
yo
nishike mkono, ‘nikushike twende kando
nikukoki kijeshi, we si komando?
(he~he)
bonge la penzi
bonge la (?)
usiku nzima hewani, ‘tunamaliza bando
kwako niko huru, sijihami
niko huru, uu
unanipa raha ‘bongo naiona chicago
unafanya w~nga watulize kipago (tuli)
mahaba mengi kama mvua inayo churuzika
(haa)
bila ya mungu kwenye jua tunge [kwaruzika]
leo tunatanua, nani wakuturudisha?
(hii,iii,iii)

[pre~chorus]
nishike mkono
nivushe ng’ambo nyingine
nivushe, oh
nishike, oh
tufike, oh
pamoja
nishike mkono
tuvuke ng’ambo nyingine
nivushe, oh
tuvuke, oh
tufike, oh
pamoja
[chorus]
kupendwa raha bwana
na nguo nikivaa, za kaa kwa mwili
na raha sana usoni na rohoni
kuwa nako penzi bwana, siku zaenda kasi na wala hazigandi
thamani ya moyo na si ya mf~koni

[bridge]
kwako niko huru, sijihami
niko huru, uuu
nimependa, nawe umependa
tuwe na amani
kwako niko huru, sijihami
niko huru, uuu

[outro]
nishike mkono
nivushe ng’ambo nyingine
nivushe, oh
nishike, oh
tufike, oh
pamoja


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...