lirik lagu kwaya ya uinjilisti kkkt arusha mjini - kila mtu atauchukua mzigo wake
kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
kwa maana sote tasimama mbele ya kiti cha huk~mu
hapo atakapokuja mwana wa mungu
kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe,
na kila mtu atatoa habari zake
mwenyewe mbele za mungu siku hiyo inakuja
mbona wamhuk~mu ndugu yako natusihuk~miane
kama ndugu akikasirika mrejesheni kwa upole
mchukuliane mizigo kwa upendo
kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
na kila mtu atatoa habari zake
mwenyewe mbele za mungu siku hiyo inakuja
kila mtu ataipokea dhawabu yake mwenyewe
tutalipwa tulivyotaabika ukijiona wajidanganya
mtu aipime kazi yake mwenyewe
kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
na kila mtu atatoa habari zake
mwenyewe mbele za mungu siku hiyo inakuja
kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
na kila mtu atatoa habari zake
mwenyewe mbele za mungu siku hiyo inakuja
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu yo yo honey singh - chal mere ghar
- lirik lagu mia martini - the lions sleeps tonight
- lirik lagu bessinski - rois
- lirik lagu interracial ferhad - shattered
- lirik lagu איה זהבי פייגלין - america - אמריקה - aya zahavi feiglin
- lirik lagu gabrielle aplin - losing me (piano version)
- lirik lagu vsav - winning
- lirik lagu kaleth morales - la hora de la verdad
- lirik lagu eбy4uй эмkиjэй - пох (freestyle)
- lirik lagu $oho bani & hugo nameless - wechselgeld