lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu kusah - rewind

Loading...

[verse 1 : kusah]
babe really definition
inataka attention
nataka nikuwaze
nataka nikupende
hadi wapate questions
wewe ndio w~ngu (oh my boo)
chochote unachotaka, yes i do
basi kanyaga break iko kwa mguu
tusije pata ajali tuta juu (juu juu)

[pre~chorus : kusah]
we sema chochote me pesa ninayo (oyo yo yo)
ukitaka chochote namba unayo (oyo yo yo)
we tamba popote na visa unayo (oy yo yo)
ukitaka chochote namba unayo oh oh

[chorus : kusah]
fanya unarewind rewind wee (eeeh)
unazungusha antena (aajeee)
kama una rewind rewind antena (eeeh)
fanya unarewind rewind wee
unazungusha antena
kama una rewind rewind antena (eeeh)

[verse 2 : billnass]
rewind come back again selekta
huu ndo ule ufundi ambao huwez upata veta
we ni mzuri mpaka vinywa vya mahaters ah
they give you compliments ah
sio hata confidential, aswear confidential
we ndo namba 1, yan 9 kwenye 10
mtoto umejaliwa zaidi ya parking ya lugumi
mayweather, michezo ya fedha kwenye ngumi
we kiboko, we nyangumi
we ni moto, we ni kuni
wakiku compare itakua dharau mana we hufanani
ligi kubwa unawaletea sunami
unawarudisha chekechea form 1
wanajidai ni special k~mbe mtumba wa grade 1
the way you rewind back n forth mah
you remind me kwa ramaphosa
antenna nikikukosa weh
basi tena ntampata nani
[bridge : billnass]
na tena natamani nikuone, mapema oh oh oh
omotola ojolade, oh oh
ulivo mzuri kila upande oh oh
na urefu wa dayna nyange
oh ma baby she is the baddest ah

[pre~chorus : kusah]
we sema chochote me pesa ninayo (oyo yo yo)
ukitaka chochote namba unayo (oyo yo yo)
we tamba popote na visa unayo (oyo yo yo)
ukitaka chochote namba unayo oh oh

[chorus : kusah]
fanya unarewind rewind wee (eeeh)
unazungusha antena (aajeee)
kama una rewind rewind antena (eeeh)
fanya unarewind rewind wee
unazungusha antena
kama una rewind rewind antena (eeeh)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...