lirik lagu kt - bestie
[intro]
yeah
woaah
yeaah
[chorus]
anajifanya bestie
ila me najua she be wanting f~~~ a n~~~~ on the low
she get all s~xy
she be tryna get to me of course anajua me na girl
bestie zima taa nataka ni vibe witchu
of course we ni staa nataka ni shine witchu
look into my eyes usini kimbie
kweli sio lies usimfikirie
anajifanya bestie
ila me najua she be wanting f~~~ a n~~~~ on the low
she get all s~xy
she be tryna get to me of coursе anajua me na girl
bestie zima taa nataka ni vibе witchu
of course we ni staa nataka ni shine witchu
look into my eyes usini kimbie
kweli sio lies usimfikirie
[verse 1]
ana body kama fanta, kote ananifata
siku tutakuja dakwa my shawty
kweli your my besty, why you gone test me
you be grabbing on it and you make me feel restless
naikifika 10:00 pm bora usipige minakata simu
when i see you call me napandwa na wazimu
netflix and chill f~~~ do you mean
afu ukome kuja ghetto umekula kimini
[verse 2]
bestie fanya fasta nipo njiani jiandae
chagua nguo nzuri unayopendeza ndio uvae
tuna ball kinyama labda siku ukatae
alafu unasema nini kwahiyo lazima nishangae
namjua rahim mwarabu mwenye beamer
unamjua my baby, uliona convo nzima
unataka niseme nini, ama unanipima
unak~mbuka i take care of you siku ukizima
uko fresh sikatai, una shine, unavutia
nikikuona nafurahi nadata unavyo nukia
inabidi upate mtu akuite malikia
me na we milele ma bestie tutabakia
[chorus]
anajifanya bestie
ila me najua she be wanting f~~~ a n~~~~ on the low
she get all s~xy
she be tryna get to me of course anajua me na girl
bestie zima taa nataka ni vibe witchu
of course we ni staa nataka ni shine witchu
look into my eyes usini kimbie
kweli sio lies usimfikirie
[verse 3]
first time nakuona bestie ilikua ni kwa kimbweta
nilikua na wahi test, i need a calculator
you started play games una leta za kuleta
kwenye calculator umetia kipepa
here goes my number eti tukutane later
me najua unajua unacho fanya so fair
unafanya baby mama daily ~n~lia
niambie kwanza whats wrong baby girl
you used to have a n~gga what happened to that bro
ni ukweli alikupemda cause that n~~~~ told me so
you need to snap back to reality my girl
[chorus]
anajifanya bestie
ila me najua she be wanting f~~~ a n~~~~ on the low
she get all s~xy
she be tryna get to me of course anajua me na girl
bestie zima taa nataka ni vibe witchu
of course we ni staa nataka ni shine witchu
look into my eyes usini kimbie
kweli sio lies usimfikirie
[outro]
woah woah
bestie, bestie
woah woah
tryna test me, test me
yeah yeah
bestie, bestie
woah woah
tryna test me, test me
yeah yeah
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu mat kearney - odds
- lirik lagu maurício dts - life in the ghetto
- lirik lagu wayfloe - feel again
- lirik lagu đỗ hải đăng - tương tư
- lirik lagu capo (gbe) - no go
- lirik lagu ghost iris - coma
- lirik lagu jaden howard - leah larue
- lirik lagu charity children - my alchemy
- lirik lagu jord (fr) - lova lova
- lirik lagu chase the rockstar pup - flexible (new)