lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ksonrap - yes

Loading...

nikiwa na wwe babe raha tele;
nikiwa na wwe babe haina hata kwere;
nipo bongo yani kama mbele;
nikiwa wwe najiona paradise;
giza giza babe washa candlelight;
midnight siunapenda bedfight let’s fight;
zima simu leo fundi nipo sight;
uzuri wako tifa wadangote
amazing kama visiwa vya mayonte;
viumbe wewe vimebaki tu vichache;
sauti yako galatone saxophone piano labda zeze;
nikiwa na wwe tu ni good time napenda lako tabasam;
nikiwa na wwe mambo bam bam sihishiwi ham;
sauti yako inanipa gusbum don’t shout babe come down;
twende rock city ama shytown?;
your queen of my heart nimekufisha crown;


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...