lirik lagu ksonrap - njiani
njiani sio pouwa njiani kunavituko
njiani kuna milupo njiani kuna machoko
njiani kuna watoto wenye kiburi
hawajui mwisho wayote nikaburi
njiani nimekutana na mabaya na mazuri
nimepita njia za hatari mchana jua kali
bila ya mti wenye kivuli njia chororo kali
nikakutana nakabali yani roba ya mbao mixer misumari..
nimekutana na mateja alosto kali
kuna mapusha vijana hawana kazi wanacheza tu kamari hatari..
niona makatili wanapora majerui
ajali..nimeona manabii wauongo wanahubiri wazipate tu salari.. police nao wan~z~finya sana hongo dili za michongo dawa za asili mkongo..
kuwengeni wanamsongo wamawazo..
wengine wamelogwa wanaokota tu makopo…
njiani hali inatisha vibinti vinadanga..
giza limetanda chozi linatoka wengine wamezaa nakutupa tu vichanga..
kijijini hakuna umeme wala maji mbunge wenu yupo huku town anatamba..njiani kunavisa na visanga machinga hana mtaji bado anajichanga..akizipata mgambo kwenye jiji vitu vyake anavimwaga..
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu cosa ky - why
- lirik lagu havokone - cham i prostak remix
- lirik lagu arctic rain - believe
- lirik lagu panty man - you got to flex
- lirik lagu dargor - locust
- lirik lagu lana lubany - point of no return
- lirik lagu chucky blk - godspeed
- lirik lagu shinigami - yesterday
- lirik lagu yeat - wit da gods
- lirik lagu tini thern - a matter of time