lirik lagu ksonrap - nchi yangu
Loading...
nchi yangu ibarikiwa milima mabonde bahari na maziwa;
ardhi yenye rutuba kwa kilimo cha mpunga mahindi maharage mpaka miwa, uwoto wa asili ;
ufugaji wanyama kama ng’ombe mbuzi na ndege kama njiwa;
historia za machief wakati wa ukoloni nakabla hatujatawaliwa ukija utahadithiwa;
pita bagamoyo zanzibar mpak kilwa;utapata vinjwaji asilia kilimanjaro kuna mbege korogwe kuna ulanzi mn~z~ mpaka piwa;
bungeni kuna siwa, madini yakila aina tumetunukiwa;
hakuna ukabila ukija hauto baguliwa,amani na upendo hauto bugudhiwa;
watu wake majasiri kama kijana majaliwa;
inabidi tuwe wazalendo tulinde nchi mali nisije zikaibiwa;
sio tu flyover ndege za abiria na mizigo zimeisha nunuliwa;
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu 219osok - jeff bezos
- lirik lagu zoe clark - not to be dramatic
- lirik lagu driplla - більше (more)
- lirik lagu kinderlil - brand geek
- lirik lagu パラダイス・ガラージ (paradise garage) - 町の男 (machi no otoko)
- lirik lagu soesevinn - “run into allen” jersey club mix
- lirik lagu shxrrff - #vesseled
- lirik lagu lil shungite - schnoz
- lirik lagu lenka - don't let me fall (live at rhapsody, seatle wa)
- lirik lagu vacca - adrenalina