lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ksonrap - michano freestyle

Loading...

hii ni bongo to uruguay anua matanga tushafunga turubai../
mini gangster kama guru unataka battle hatamkononi haujai../
ningeu juu turu nauwa marapa usikose msibani mkolosai../
kwenye giza koroboi napita kwenye ngome stoloway../
still og allday star kama vile sharukhan bombay../
mpira bongo fitna uliza boban boko james kotei../
code zangu kim jong,korea kaskazini natest makombora baharini../
kson rap phenomenal…the kid dynamite../
mastanza nayapiga back 2 back../
bila mirabaha naskika kila ghetto kama pac../
kwamastanza na mavers adim nawalevya kama junkie../
milele nitadumu kwenye andaki n~z~ngatia itifaki../
hii ni world war sio vita ya benganz../
navyonata kwenye beat zaidi ya udongo wa mfinyanzi../
zaidi ya shingo inayoning’inia kwenye kitanzi../
g~nius nimewaficha kwenye cypher kibao sikiliza msela mavi../


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...