lirik lagu krg the don - unashida gani?
touch touch.. touch..
(kuna shida gani?)
(na shida gani?)
(kuna shida gani?)
unapiga simu uongei
(kuna shida gani?)
ukipigiwa hupokei
(mwenzetu una shida gani?)
naona umenitext, mbona umefuta meseji?
(kuna shida gani?)
good morning jirani, salamu kitu cha bure
(kuna shida gani?)
kudanganya watu unatoka na vicky
utaacha lini mambo yaaa kiki?
hata kwenye ugomvi unakuwa
sha biki
haubadi liki
hauambi liki
(kuna shida gani)
naskia walishatoa napo sa
sasa chinichini unapanga k~mto sa
kila kukicha unalia na mwampo sa
na unajua anawapanga kisando sha
( mwenzetu una shida gani?)
(kuna shida gani?)
(kuna shida gani?)
plan a b na c
plan a b na c
jina krg
jina krg
you are the one wot
mi hata sikufikirii wala sikufuatilii
am to pm umekaa kaa
kula kulala kujaba ja cha
kesho unalilia lia njaa kwa mitaa
wee jamaa na jana ulikesha bar
skia all i need is one mich sikidii
naongea na wakenya hawanisikii
naongea na serikali uchumi ni ziii
kwenye nchi hii heee!
(una shida gani?)
haya maisha hayataki utani
haya maisha yanataka ramani
vipi unachoma machani?
unasoma gazeti gani??
mbona utoki msalani?
huko ndani?
(kuna shida gani?)
unapiga simu huongei
(kuna shida gani?)
ukipigiwa haupokei
(mwenzetu una shida gani?)
naona umenitext, mbona umefuta meseji?
(kuna shida gani?)
good morning jirani salamu kitu cha bure
(kuna shida gani?)
utakuja kuua jitu
usiku mtasikia
unatabia tabia
ngumu kuvumilia
nakata kushoto
unakata kulia
kuwa maakini sana
weka maji kwenye njia
na njia wenye machibu
mnafaa kutulia
doctor anakuja na majibu kuwahudumia
ukitaka viboko nakujarazia
ukileta utoto nakukanyagia heee!
mbona kichwa kime pinda pinda?
una shida gani?
mbona mambo ya kichinga chinga?
una shida gani?
plan ab na c
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu duwap kaine - miami
- lirik lagu plux - vegan
- lirik lagu moe & doaprey - luv3
- lirik lagu apostoli - icarus always dies
- lirik lagu shot day - somethingsomething
- lirik lagu kyle rathbun - the moon bleeds red
- lirik lagu co lee - bőröndkísérő
- lirik lagu a2k (america2korea) - alcohol-free (twice)
- lirik lagu antonis remos - τι ήμουνα για σένα (ti hmouna gia sena - live)
- lirik lagu yung specter - bagman