
lirik lagu kontawa - toilet
[instrumental intro: kontawa & dj mushizo]
toka black and white
we mushizo, utawaua…
[pre~chorus]
mh, moja ya kitu nikipendacho
jamani ni choo
kabla sijamiliki nyumba, wanangu
mi naanza na choo
eh, ukiniibia nikipendacho, itakuwa soo
nitakupeleka kwa wakala mwanangu
ni ka kutoe roho
[verse 1]
ili choo kiwe kisafi ama kichafu inategemea na matumizi ya watu
mfano choo cha kajala, unavaaje viatu?
ukiingia unaweza kaa masaa matatu
oya choo cha wema, ukikichunguza, kilikuwa kikubwa ila sasa hivi kakipunguza
ukibanwa haja ndogo popote we punguza
ila haja kubwa katafute choo buza
mfano kama kile choo cha niffer
unaeza ingia na jiko na ukapika
kuna vyoo vizuri vina uhakika
hata shetani anatamani choo cha malaika
[chorus]
oh, toilet
mida ya kwenda toilet
eh~eh, toilet
wakati wa kwenda toilet
oh, toilet
mida ya kwenda toilet
eh~eh, toilet
mi nataka kwenda toilet
[instrumental break]
mie
napenda choo kama mende
eh~eh~eh
[verse 2]
vyoo vya bukoba vina maji mengi ‘haifai
ila vyoo vya kitambaa cheupe, unaweza ukaumwa uti, ‘eh
na kuna maswali kuuliza sio ujinga
hivi posh ana choo ama chumba, eh~eh
hadi moyo ukadunda, siku hizi ndaro anaogea choo cha tunda
ukiona baby wako hakupendi, halafu anatoa sana macho akiona vichenji
daily ana kunywa, hanaga wikiendi, wewe huyo baby wako choo chake cha stendi
kwa mfano mimi, mkazi wa keko
pale magurumbasi, nnapo ishi ghetto
halafu niletewe choo kama cha mobetto
oya kila nikiingia mi napiga nyeto
[chorus]
oh, toilet
mida ya kwenda toilet
eh~eh, toilet
wakati wa kwenda toilet
oh, toilet
mida ya kwenda toilet
eh~eh, toilet
mi nataka kwenda toilet
[verse 3]
una safisha choo chako, una kisugua, ‘ili kionekane kama choo cha kishuwa
afu unarudi nyumbani, bila kujua unamkuta boya eti anakichafua
oya inauma, ‘inauma, inauma, inauma, inauma, inauma
oya sikufichi inauma
ah
inauma, inauma, inauma, inauma, inauma, inauma
oya sikufichi inauma
[instrumental break]
[hook]
ah, we mushizo usifanye hivyo
hili dundo ni kali mtaani limekuwa tatizo, ah
ah, we mushizo usifanye hivyo
hili dundo ni tamu mtaani limekuwa tatizo
[outro]
oya ‘toka black and white, mi nachekaga tu, heh, eh, eh
we lewa lewa tu ila ukizima tuna kupima ukimwi
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu melux & romeo - coн
- lirik lagu rich hall - not a moment goes by
- lirik lagu suavaee - let his people go
- lirik lagu valentyne - under the skin
- lirik lagu paul spring - flowers
- lirik lagu whitesnake - looking for love (87 versions version)
- lirik lagu muillet - cooling kit
- lirik lagu daniel son (can) & dj finn - missing teeth
- lirik lagu devastater - jaguars got game
- lirik lagu jumbo javid - consumer