lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu kondela - raha

Loading...

kwenye moyo ulikuepo
kabla hata hatuja kutana
hisia nyingi zikawa kwako
kabla hata hatujajuana
nilidata na mapozi yako
pindi macho yaligongana
nikatamani tu niwe hapo
ukakubali bila hiyana
penzi dimbwi nimezama
napewa vya warabu na wahindi (nyama)
hatushindwi kushindana
lakini tayari si washindi (zama)
kwani shida nini nini, mchumba haunambii
kunivuta chumbani, hiyo michezo gani
kwani shida nini nini, mchumba haunambii
kunivuta chumbani, hiyo michezo gani

ona nanogewa raha, n~z~diwa raha
nanogewa raha
ona nanogewa raha, n~z~diwa raha
nanogewa raha

kuhusu mapenzi hapa kiwandani
nashona akidalizi shuka kitandani
kama ye kajol me mi ndo shah rukh khan
napewa penzi zito limevunja mizani
yani dimbwi nimezama
napewa vya warabu na wahindi (nyama)
hatushindwi kushindana
lakini tayari si washindi (zama)
kwani shida nini nini, mchumba haunambii
kunivuta chumbani, hiyo michezo gani
kwani shida nini nini, mchumba haunambii
kunivuta chumbani, hoyo michezo gani
ona nanogewa raha, n~z~diwa raha
nanogewa raha
ona nanogewa raha, n~z~diwa raha
nanogewa raha
jamani ona nanogewa raha, n~z~diwa raha
nanogewa raha
ona nanogewa raha, n~z~diwa raha
nanogewa raha


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...