lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu kondela - day by day

Loading...

verse 1
zero distance, huu mwili w~ngu na wako
umeni~confess, naiga tabia zako (wewe)
nimekuwa mwepesi, kwa mbwembwe na raha zako
kweli mungu ka~bless, jamani uzuri wako (wewe)

pre~chorus
na michezo tunayoicheza (hatari)
kwani nani amekufunza? (hatulali)
ah, na ukiwa mbali naumwa
mwenzio oooh, ninavyoona

chorus
yani day by day (day by day)
i’m falling in love (falling in love)
day by day (day by day)
i’m falling in love (falling in love)

verse 2
my cherie, i’m proud of you
ngamia w~ngu mzuri, mtunza maji kwenye safari
nakiri, without you
ni sawa na nyuki bila asali

yako tamu kama chenza (kama nanasi)
yani kama maziwa tui la n~z~
moyo w~ngu unacheza (masarakasi)
tukiwa chumbani tujinafasi
pre~chorus
na michezo tunayoicheza (hatari)
kwani nani amekufunza? (hatulali)
ah, na ukiwa mbali naumwa
mwenzio oooh, ninavyoona

chorus
yani day by day (day by day)
i’m falling in love (falling in love)
day by day (day by day)
i’m falling in love (falling in lovе)

outro
day by day…
falling in love…
day by day…
falling in love…


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...