lirik lagu kleptomaniax - tuendelee
[verse 1: nyashinski, as nakiri]
ka ningekuwa msanii wa sanaa ya silaha
ningekuwa na jamii ya ma-sadaam ka wasaba na
mabunduki na makofia ka bilauri
bidhaa za kujijali tu hali ni shauri
skiza sauti kutoka kenya mpaka saudi
arabia maajabu ya musa, firauni
huyu kijana anafanya vipusa wa towni
wavue mashati ma-panty ni kama wao ni
wendawazimu na sa skiza hii story vizuri jamaa
rap naifanyia chapaa
na ma-fans wanaonipenda jamaa
sa hata ukinichukia siwezi jali ata (siezi jali!)
ka wee ni mc stick to the wax
unafaa kuweza kutumia hip hop na other tracks
si kuchukia wadhii juu wanatawala industry
na wee bado uko huko chini
kabla jina yako i-grow jipe miaka ka nane
ka lazma nikutukane ndio ujulikane
hip-hop ni culture ya love, usisahau
pole kukuambia sikuchukii, nakudharau
[hook]
tuendelee ama tusiendelee? (endelea!)
tuendelee ama tusiendelee? (endelea!)
tuendelee ama tusiendelee? (endelea!)
tuendelee ama tusiendelee? (endelea!)
[verse 2: collo, as depicto]
naskia kuna mc’s flani wametutusi
ati ma-lyrics zetu mazee ni za upuzi
na heri sisi hao wamejaa na virusi
k-mangana kila mahali kama mambuzi (meee!)
na ningekimya ningenyamaza, singejali
ni venye rap jo nilianza uchangani
ukalimani ukali yani, u hali gani?
mc, lengo la kuroga ni kupata mali (ching! ching!)
matamshi yachanganya kama lugha ya punjabi
kukubaliwa na wanati hata na mababi wee!
wacha kuji-do msee hatari
tema na mimi nasema lakini tu ni safari
[hook] x2
tuendelee ama tusiendelee? (endelea!)
tuendelee ama tusiendelee? (endelea!)
tuendelee ama tusiendelee? (endelea!)
tuendelee ama tusiendelee? (endelea!)
tuendelee ama tusiendelee? (endelea!)
tuendelee ama tusiendelee? (endelea!)
tuendelee ama tusiendelee? (endelea!)
tuendelee ama tusiendelee? (endelea!)
[bridge] x2
niaje bro? (vipi beste)
niaje siste? (vipi dada)
tunawacheki (mnatucheki)
we got mad, mad love for y’all
niaje bro? (vipi beste)
niaje siste? (vipi dada)
tunawacheki (mnatucheki)
we got mad, mad love for y’all
[verse 3: nyashinski, as nakiri]
nina tracki nina mistari, swahili jangili
mkono wa kushoto ni mic, mbota na bangili
tema na mimi ka una rhymes ka mia mbili
ka sivyo risasi kwa shingo macho na akili
lakini kabla nijaze nafasi ya pili
lazma nirudishe matusi za hawa makafiri
barabara na gari nawacha mkiwa chakari
kazi ni usafiri
nasi ma-mc wachachari
kabla single yako ipite yangu kwa charti
geuza jina geuza flow geuza trouser na shati
na bado ukitoboa kunigusa ni bahati
naroga na kihindi tena kigujarati yeah
zaga-blow, zigi-zow, zigi-zow
kutema na mimi lazima utupe mbao
ule jamaa mlidharau sa na-spit ka bunduki
chiki blao chiki chiki blao blao
[interlude: roba, as munkiri]
hatucheki na wadhii
mafans wetu wamesema ndio
au sio…
au sio
[hook]
tuendelee ama tusiendelee? (endelea!)
tuendelee ama tusiendelee? (endelea!)
tuendelee ama tusiendelee? (endelea!)
tuendelee ama tusiendelee? (endelea!)
[outro] x4
niaje bro? (vipi beste)
niaje siste? (vipi dada)
tunawacheki (mnatucheki)
we got mad, mad love for y’all
niaje bro? (vipi beste)
niaje siste? (vipi dada)
tunawacheki (mnatucheki)
we got mad, mad love for y’all
niaje bro? (vipi beste)
niaje siste? (vipi dada)
tunawacheki (mnatucheki)
we got mad, mad love for y’all
niaje bro? (vipi beste)
niaje siste? (vipi dada)
tunawacheki (mnatucheki)
we got mad, mad love for y’all
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu wmat - inspiration
- lirik lagu 24hrs - sunset
- lirik lagu close talker - heads
- lirik lagu dalai x d'oranje - sali su da me
- lirik lagu tiago sta. cruz - id (mi lado animal)
- lirik lagu brick bazuka - черви (worms)
- lirik lagu rare kidd - jet de golf
- lirik lagu mez (uk) - london 2 nottz
- lirik lagu village people - jungle city
- lirik lagu mr. pimp-lotion - bølgelengde