lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu kingsmainamssteve - wachana naye

Loading...

taratibu wazee kwa vijana, wamama kwa wasichana, karibieni sauti inawalilia kwa huzuni mingi, samahani wapenzi tega masikio mniskilize, mazuri apa wingi maovu yote tunaodoa ukurasani, chunga tamaa ya nje itakuagamiza na usahaulike, chizika na wako wa nyumbani mwenye mapenzi kiupedo ya kifahari isiyo ya leo leo leo tuu, milele milele eeh kaa ukijua

eti ukimuona kavalia miniskirt nusu uchi uwe kijana ama mzee , wachana naye anasifa ya kuachaa mapaja na migogo wazi, mwenye k~melemeta kaa maridadi car, usiku anakaa mw~ngaza ila akipita usimkonyezee jicho, usije ukajisahau

huyo ni mtapeli wa mali yako, mwenye mapambo kupedeza sauti gunzo tu, kuvutia kukuharibia ujana tuu

sometime amevalia kogi kogi, utaskia kogi kogi akipita kwa marigo, huyo ni kama funza anasaka pakutubukia kwa muda ooh, hao maabunuasi wako hapo ulipo walahoi na walahai wote wakitubukia ndani kwa ndani na kusahau na familia zao manyumbani, kuwa mjaja usifanyuwe mtumwa, wakate waodoe kwa line up ya maisha yako, usipagwe na nderеmo na sh~gwee , siku zote jijue wewе mwenyewe, uwapendao uwatunze dio watakao kuzika , watasimama nawe wakati wowote, kama ujui jua leo ,hakuna aliyekama wewe ulimwegu mzima sio sili tena hawa watu wako mumejionea wenyewe , jihathali ishi na watu vizuri

huyo ni mtapeli wa mali yako, mwenye mapambo kupedeza, sauti gunzo tu, kuvutia kukuharibia ujana tuu eeeeeeeeeeeeeeeeeeh


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...