lirik lagu king kaka - mistarillionaire
kwa game
w-ngapi niewaingiza kama koni au gaina
ata nikiwapea my rap book
hawawezi panda ka designer
hii kuku sitaichinja
ina bahati imetaga
na mi sio warrior anahesitate
yule alihesitate si alishaaga?
woe ye little faith
na dhambi mingi siku hizi ndani ya dini
mi ndo marking scheme aise
ina boil down kwa my ulimi
hiyo ship ilisha sail
ati chai siku hizi iko kwa sachet
na maziwa imeekwa unga
unga imekuwaje uji?
hii world iko confusing
after h-m- erectus
i think evolution inaenda kwa mbuzi
madark skin wanableach
wanawake wanaficha uchi na uzi
pastor anakunywa makalina maji ndo aweze kupreach
wengi watasema nawaonea
wengine nawachomea
na wale wako kwa hii stori watajitokea
juu wanjua sio mistari tu
ni mistarillionaire
kuna tu yaliyopita
hakuna sasa lakini kuna ya kesho
niliambia mama siku hizi mi danger painter
nachora picha kwa maneno
opening leo gallery yangu iko kwa matenje na mathree
mtaani hadi kwa matecho na matendo
kuna time nilicheki bank and i had 5 million
like it’s nothing
nika-tbt siku weird nothing
nothing to live for
so tulikuwa tuna-live for?
tulikuwa tuna-live and we were four
me, my mum and my brothers
kwa room ndogo pale marish
tukiwa na ndoto za room soo
nilikuwa tu najichocha
time nili-do ligi soo
i was grown nikiwa mdogo benjamin b-ttons
after two months nilikata maziwa
nilijua kidogo
macho yangu bado white
bado nilikuwa m-pure
yani sai mnanipigigania kiti ya king?
nacompe-iwa aaha!
kijiji yote inaniombea
we endelea wivu
ndo mnanionea
na sio mistari tu
ni mistarillionaire
mahali imefika nish-gundua
hawa watu wana vision fupi
kama ancients
na mission yangu kuna time wali-confuse na impatience
nilikuwa na no pay no biro
nikarudi drawing board
nukta nukta tone tone
picha ikawa wazi
after nime-connect dots
binadamu wengi wako na leash
si umbwa tu
unadhani omena sio fish
shairi inatungwa tu
vako ni ya ark ya noah two by two
niliwacha kuwa inspired na wao
niko inspired na family kwa hao
na uulize miss wakaba mi cl-ss sikuwa malenge
even though mum alikuwa anauza maembe na malenge
wacha vile sai mnaniona kwa ndege
wananionea gere mi genjen
mi ndani ya kenje
wacha usenge pale akala sio usenge
vipofu wao wanipatie ntawasomea
sio mistari tu
ni mistarillionaire
kuna conference nairobi
nasikia wanafunga njia
wanadiscuss vile watafund vita
sijui kama wamesikia kuna wenye wamekufa njaa mvita, isiolo na mandera
maduwazi
si waashe antenna
wajaze lorry sai sai
wacha vile wana advertise free wi-fi
same flowers different colours
rose ya nyeupe na red ina maana tofauti
maisha ya kuzaliwa leo baadaye ni mauti
uwe na pesa ngapi hauwezi nunua jana
huwezi bribe mungu akuonyeshe kesho
bado waswahili unizingatia wameeka mistari zangu kwa leso
makonkodi na-deal na wao siku hizi ni ma-sailor na ma-hostess
went from kusanya bmx to ndoto za kuendesha porsches
nguvu za luanda magere kwa kivuli
mi god ndo couches
na it’s obvious hakuna journalist ako na swali moja
nawarogearogea
time nilibobeabobea
sio mistari tu
ni mistarillionaire
unaongea stori ya mkatena dush
stori ya cheese na burger
una-make moves na nyoka
i guess it’s too late
maisha imempeleka shule 8-4-4-4
ndo maana school fees ni bure
kulikuwa na kennedy to sunguch
then kaka sungura to rabbit to king kaka the linkquid
i say pesa liquid
nilishapata wengi wakunipea
na wengi wakuninyima
umbea ungekuwa mmea
tungekuwa ma-tyc–ns na wakulima
tv imejaa wahuni radio imejaa matapeli
niacheni pia mi ninone
ka juwa au paka ya hoteli
sichezi but nacheza my cards right
nyinyi joker nyi ni stalker
nyi mko in the nick of time
mi niko manickle and dine
niko studio na-rhyme
niko close to my palm
ma-amb-ssadors wa eastlando ndani
case study ya walami
mi niko nyumbani
mi ndo funny
mi ndo mixtape ya e-sir na vitu fulani
mi ndo hujaza sahani
mi ndo king na sina samahani
mi ndo huchotea waiter na njeve ya summer yaani
mistari barabara
pokea shamrashamra
book yangu haina cover utani-judge aje?
nimewaalika kifo ya career yenu
mtadunga aje? since mnajifanya wajuaji watajuaje?
mi kiziwi husikia the silence
kipofu anaona the future through my cornea
na sio mistari tu
ni mistarillionaire.
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu tw3lv feat. jack wilby - together
- lirik lagu above & beyond - always
- lirik lagu nella kharisma - kesenggol rondo
- lirik lagu mnogoznaal - шахбокс (chess boxing)
- lirik lagu simfoni dalam poket - mogok tenteram
- lirik lagu ashley eriksson - island song (adventure time)
- lirik lagu her brothers - love over hate
- lirik lagu todd dulaney - sanctuary
- lirik lagu da-ice - waruguchi
- lirik lagu generic animal - hinterland