lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu king kaka feat. elani - papa

Loading...

mmmmmmh…
aaaah…
huu wimbo ni wako baba!
natarajia uko salama
nak-mbuka ulivyo kazana
na sura yako nitak-mbuka
ooooooooh…
ooooooooh…
okay
siwezi wadanganya
mi sikuwa poa na my father
nilijionea kwa macho zangu
akidissagree na mother
kifaranga itakuwa jogoo
huonekana yai kitagwa
i was a kid ni ’93
naik-mbuka kama jana
and that why (rest his soul)
i never talk about him
na nilipromise mum next day
nitaenda k-mwona hosi
deep within i was bitter
jua kadhaa zikapita
machozi kwa giza
but nasmile ni disguise
ati nimwache apone kwanza
ndio apate nguvu ya ku-apologize
hadi alitumana
i always blame myself for that
fursa tu
nikakataa kusema goodbye to dad
hio kitu huniuma hadi wa leo
wimbi zangu zimepotea kwa uteo
huu wimbo ni wako baba
natarajia uko salama
nak-mbuka ulivyo kazana
na sura yako baba nitak-mbuka
wewe (papa papa papa)
wewe (papa papa papa)
wewe (papa papa papa)
wewe (papa papa papa)
hata nikisema asali mara ngapi
utamu haitafika kwa mdomo
ndio kitu niligundua vile tu
nyi mlikuwa wadogo
saa hii mi ni father of two
before mzaliwe mlikuwako news
naomba baadaye mtanielewa
kwa saa hii mi nitawalea
mnatoa meno lini?
i wish ningekuja na manual
plus na-respect mama zenu
vile situation walihandle
tumedissagree
tumego for days hatujaongea
hata maji sakafuni
after a day inapotea
nawish singeido
but nawaskiza “its so good!”
na mimi sio perfect
hakuna moment naregret
busy kwa stage na onset
ndio muwe na chakula kwa plate
nawapenda
nko njiani
kw-ngu everyday ni father’s day


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...