lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu king ceejay - black history

Loading...

niko na mambo inachoma
mambo itakutoa kwa sofa
ilikua michezo ya poker
then waka switch iyo truth now
black ndio king the truth’s out
let me explain how we got here

yeah
yeah
yeah

ilikua kitambo before civilisation
najua umeskia hiyo israel nation
in 70 ad the romans attacked
the israel nation was a black nation
people of god !!!

and if you wondering
im talking about blacks
this is the black history !

israel is black
najua nta spark kitu kwa heart
najua nta attack kitu kwa heart
only the the truth iko in my heart
so you should know naifanya kaa art
color ni black
history yote imebebwa na blacks
na ndio kwa maana our forefathers ndio wali uzwa kila mahali wakakua slaves dunia mzima wakatapakaa dunia mzima
ushai jiuliza mbona si blacks
si tuki umia wako kwa media ati blm !!!
ushai ona wapi white akiumia wlm ?
kila mahali black ana umia
kila mahali black amejaa
jesus was black
solomon black
david was black
jerеmiah black
abraham black
israel black
watoto wa ham si wote ni black ?
si tu rewind nikuonyеshe black
open your bible nikushow black
there is a purpose us being black
there is some words nataka uhave
we were already a chosen nation

god alichoose a race that belongs to him
na yeye ndio elohim

sisi ndio tuliteswa egypt
sisi ndio tuna kandamizwa
na ma dunia za giza
toka kwa izo ma giza
god anapeana maisha
god atachukua maisha
napenda hiyo word inatisha
napenda hiyo vibe ina amsha
akili inakaa imechemka
open your mind nina insha yeah
nani anaeza linganisha yeah
uwongo na ukweli inatisha ?

sisi ni nation not an invention
this is the scripture wacha ni mention
wacha izo tension fununu mbaya

jeremiah 8:21. i am black walitoa black
ndio all the people wasi know truth
job was black ,jeremiah black
all im saying wacha kuvaa black siku ya mtu akisha pass

black ndio one ina shine like a star
black is a symbol for winning
black is a symbol for life
wacha kufuata ma lies
hapa wanacheza ma dice
black is a symbol for wise
black reminds of christ

we are the chosen because
we were the fewest among
the peoples in all of the land
he told us that we will be lead
to captivity in all of the lands
kwasababu ma babu wali dance
na ” wakora ” waka ruin hiyo plan
kuna wenye wana face hiyo curse
kuna wenye wako still kwa plan
incase uskie unadai
we ndio una choose walai
we ndio unajua unadai !

niko na mambo inachoma
mambo itakutoa kwa sofa
ilikua michezo ya poker
then waka switch iyo truth now
black ndio king the truth’s out
let me explain how we got here

yeah
yeah
yeah

ilikua kitambo before civilisation
najua umeskia hiyo israel nation
in 70 ad the romans attacked
the israel nation was a black nation
people of god !!!

and if you wondering
im talking about blacks
this is the black history !

written by king ceejay
state of lords empire


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...