lirik lagu kheed tazo - hii stori(kuomoka)
bridge: brymo musiq
hii story jo ni true….bidii yangu ndio itanileta juu (aah)
hii story jo ni true….bidii yangu ndio itanileta juu (aah)
hii story jo ni true…. bidii yangu ndio itanileta juu (aah)
hii story jo ni true….bidii yangu ndio itanileta juu (aah)
verse 1: kheed tazo
yoh!
wagwan siku hizi nikiland nategewa na na magang mi jangili tena hatar aah
thanks jah kunifikishanga sahii siwezi relax ju nadai kuomoka aah
hii mtaa mi ndio uirun kama ka… kurudi manyu ni la mi nasonga na mamboka aah
bytha kunipata nikiburn ndio inakuanga kitu gwan yani kitu mi huogopa aah
sahii mom anabambika na son ju tangu agive birth namjaza na mado aa aah
sorry man ulidhani mi ni young lakini kukua star hakunanga eti ni miaka aah
just stand hata kama umelema morio ka ukona kipa.. niamini umeomoka aah
hadi fans nimewapiga stamp tukimeet kila town nawapin na masoda aah
sahii niko idhaa ya kuroga na the tk
nishike kila state madoba zicheze nje
madenge nimeplay nikawafanyia replay
ju bidii yangu main ni maganji si makike aah
washatii mi ndio beast kwa hii ring
mi ndio mzing mi mzong hadi ding inaring
mi ndio king mi huconqure hadi city inajin
mi ndio husing hizi song zina heat kama steam
bridge: brymo musiq
hii story jo ni true….bidii yangu ndio itanileta juu (aah)
hii story jo ni true….bidii yangu ndio itanileta juu (aah)
hii story jo ni true…. bidii yangu ndio itanileta juu (aah)
hii story jo ni true….bidii yangu ndio itanileta juu (aah)
chorus: brymo musiq
napiga mboka daily ju nadai kuomoka aah
kuomoka jo nadai kuomoka
hata kukidhoka jo nadai kuomoka aah
kuomoka jo nadai kuomoka
napiga mboka daily ju nadai kuomoka aah
kuomoka jo nadai kuomoka
hata kukidhoka jo nadai kuomoka aah
kuomoka jo nadai kuomoka
verse 2: brymo musiq
nakarau kila rеngwa napiga dua
jarabi maulana anionekanee
nabonda ju ya mrengwa ndio nisake hustling
sitaki za kup~rn ah ndio nitingwе cuffling
maisha jo ni ngumu haikatiki kwa shoka
milima na mabonde ndio utabonda kwa makonde
sitaki za mascandle ndio ni benefit safarico
net inawork nina kambi kando ya booster
kazi jo ni kazi physically niko fit
chokoraa nakuangaa morio when on street
ambapo giz ikishuka lazima tutavuka
mwendo mzee kobe mpaka mpaka tutavuka
so usijali kadhe
wenda shoke ni you
so we cheza ki you
utembeze udoo
kupona nono wakilala pono
ka sio jah jah tungenyuria kwa njaa
bridge: brymo musiq
hii story jo ni true….bidii yangu ndio itanileta juu (aah)
hii story jo ni true….bidii yangu ndio itanileta juu (aah)
hii story jo ni true…. bidii yangu ndio itanileta juu (aah)
hii story jo ni true….bidii yangu ndio itanileta juu (aah)
chorus: brymo musiq
napiga mboka daily ju nadai kuomoka aah
kuomoka jo nadai kuomoka
hata kukidhoka jo nadai kuomoka aah
kuomoka jo nadai kuomoka
napiga mboka daily ju nadai kuomoka aah
kuomoka jo nadai kuomoka
hata kukidhoka jo nadai kuomoka aah
kuomoka jo nadai kuomoka
outro:kheed tazo
wagwan siku hizi nikiland nategewa na na magang mi jangili tena hatar aah
thanks jah kunifikishanga sahii siwezi relax ju nadai kuomoka aah
hii mtaa mi ndio uirun kama ka… kurudi manyu ni la mi nasonga na mamboka aah
bytha kunipata nikiburn ndio inakuanga kitu gwan yani kitu mi huogopa aah
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu אתי אנקרי - lolita - לוליטה - etti ankri
- lirik lagu joe la reina - caravana de fuego
- lirik lagu the mills brothers - mister and mississippi
- lirik lagu vona - baby
- lirik lagu yuno miles - dragon ball
- lirik lagu dimitris korgialas - ti trechei pali kai chanesai
- lirik lagu west blanco - que pvtería
- lirik lagu просто лера (prosto lera) - мелом (chalk)
- lirik lagu il tre - roma
- lirik lagu да ст (da st) - strogoriginal