lirik lagu khaligraph jones - the khaligraph jones presents cypher (2016)
[verse 1: domani]
yeah! since orange is the new black tunaweza ita kule kitale kwale
i’m the tax collector n-gga- mi nipe tu finje, kwani
mtaani me huchoma nje kitire ngware
i care for my family take kinjekitile ngwale
hii kundi ku-size gangs tulikuwa tuna-time tukikaa tuna-rap tulikuwa tunajua hiyo ni false alarm; ni ishara ya k-manga lunch
kuni-disturb bruh ni blunder ya kwanza mhadhara
ku-discover blood, munga turning murderer
ni ka umetumianga mihadarati zi-hupandiwa through motherland
rest in peace dantez, nimepewa sifa
number za beats nime-k!ll pro tool from ceo’s
iphones hata ukiuliza apple ni infinix ilitoka before
syphillis tupewe hapo kwa poko maybe ni false
venye safcom simu ni techno infinix oppo
bad mind! enda uji-quench na tusker baridi thirst
ka ulinyongwa na waru, ku-find hakuna rasta gaidi ask
utadishi vipi plus na hata humalizi task
plaster za hizi skirt na ku-answer rahisi bruh
hii ni column za colo tumeketi smoke cuzo nina roho
session next ntakuja na rizla soo
hapa hivi nikionyesha ubabe jua nina rod
tuki-weka cheerless ndom kufight u-babyloni na rome
so nikikam na reckless hype usiseme psych
incase ni pengine reggae vibes
juu tutasema venye squad ya recce fight
tsetse flies huwezi kuziona ndethe na naked eyes
thirty wise na hata ukilalia veve baridi u-nice
hadi uiweke fiti kwa njeve itabidi ice
r.i.p dan (dante) bro how are you there? i hope uko fresh
na-reminisce tukivaa timba caterpillar weekend
zangu ni ma-nike nikimchocha we usijitetee
nikiteta kwani mi ndio m-old school pekee…
[verse 2: ridiq]
aire!
this here squad, my lord lethal
don’t come around if you don’t have a meal plan
been so keen, got a third eye now
i can read all your thoughts right now
check out the rasta man a don of the don
black on black always attack the tan
family fuss about who known tha dad
but when it come to the bank
who nuh tell them i know no bank
jah a walk with me-
me have a dream like martin see malcom x
come here de new nephilim
y’all just mortals, look down to thee
can’t compare when compared to me
we are the deadliest and them hike animal
compet-tion want beef, we cannibal
big league clean buy out the mall
yeah me love it when a girl can bounce
at the same time smoke up a pound
as me count out the total amount
when me get down she go on unannounced
serial k!ller when me move on the mic
who nuh check me switch it up? wea got no choice
gal me drop it like a topping in a numpang
swoop in a city, man i bring it
can no man cool this fire, man
ridiq him a know man fool
cool, jump on the coupe
h-ll! the fire start a light up me bring it in tighter
boombayah like bujuman thought
pop inna the city like a demon on a land
people like a east coz me sip inna de bristol
pull out the kush coz me smoke up a bush
how me slide out mother dem nah swoosh
like a earth a take her under under squeeze
who na take on the breeze when we bring down this quiz
ridiq verse throw down a fist, saigan… para de east
[verse 3: scar]
hizi mating n-z- burn loud
brathe achana na king, mi ni harun mwau
juu ukicheka na machine nakuja na ya latin; ma chik-blaow, ma-king ku-bow down
by now, wanafaa kujua nataka kuwatuma
dharau? tutakupoteza kama jacob juma
sikujangi solo, mi hukuja na back up nyuma
na ukiletaga usoro hapa tunaku-slap na chuma
pigwa goro ukusubiri cover
ka mchoro imefaulu, shukuru mungu ni baba
napendaga waroro wanashughulikanga
marlboro na makoro ndo niudhi nacada
usi-mistake na kismat, mind state ya hitler
iko blessed hii ni taste ya jesus, yes naskika
siku hizi niko close na speaker, test kabisa
sababu hii ni ghost ya e-sir
so ka ni beef, weka rib kwenye grill
still ninawa-k!ll nikideal na ma-bill
nafeel kama beryl kukazana na ma guil
chuki ni ka sigara; never did, never will
juu na-bully mics nakatembeza kwa track kama mnduli nai
nakuongeza ma-bars na me siku-deny
nawezanga fanya vitu zinaweza toa nduli sykes – uh!
basi! haijalishi ka ni ganji ntakaa kwa mvua
ambia w-ngechi kuna vile naweza taka k-mjua
mambo ya rap stop na ukuje na scar kwa tour
nikuonyeshe tofauti ya hawa ma-stars na jua
i hope you get the point naleta form
n-ggas already scared even before the papa jones
ma-rapper so far mi nimeona ni wa-horrible
kujichocha venye wamekomaa na bado huoni mboo
[verse 4: ares 66]
mi huingia kila hood na napita orosho
naget in the mood na mistari kwa mbosho
na zile vitu good hazipatikani kwa soko
ni yule mtu rude unaweza dhani ni sonko
ak, shotgun, kifaru, bonoko
all day program kuwachapa viboko
obey slogan ukiwacha hapa ni guoko
juu always jordan kipara kisogo
najua mnangoja niongeze speed kidogo
niko fiti dogo sidigi zogo
nimechill tu kwa corner na rafiki yolo
tunachill tunachoma ni mazishi ya koro
na hatufeel hizo mangoma za mafikizolo
zero chills tunakulanga kempinski ndondo
pop pills si ndio tunapea mziki gondo
hip-hop, hao wengine wanashiriki ngono
niko simple na bado niko na spring kwa mkono
watu wamedoz ni kama pope amekam
na mi naji-set kama bob amejam
nai to abidjan to abuja nakuja
ngwai tun-z–burn mpaka thika na juja
na tumedunga machupa tukisorora wasupa
tunatupaga malugha ndani ya corolla bila pupa
vitu kama unga ndio keroma tunakupa
ukitukana chunga mbio noma tunatupa
ka fresh nina rupu seti
star already anashuku keti
scar kesi ni kuharibu jeshi, wacha khali na domani watasoma gazeti- ah!
label ni coogi na nakam na mbogi
we finya pause, bado mimi nazoza
fimbo ni k-mi nikijam nairobi
wapi nitadoz kabla mi sijaosa
[verse 5: khaligraph jones]
vile idhaa inatamba, basi bei ya bidhaa inapanda
nimekafunga ni ka nimeji-tie na kamba
toka mazishi so hifai matanga lakini “mazishi” imefanya ni-buy kashamba
shamba napiga pamba za kujigamba
mi ni plumber juu vile natamba na kuwabamba
ninapanga na madimanga za k-madana
nina hunger mi siwezi blunder niko sambamba
mi na scar tuna-bang ka bazooka bro
hatuchomangi hizo cancer za duka – no!
si hu-burn tuki-puff p-ss tukicheka tukiwa tumeji-gas ka fanta bamboocha jo!
shhh…! punguza pupa, unless unataka kuona nikiua mbu na chupa- pang!
hapo usipoomba mungu utakufa
wakisikia nikiroga wanak-mbuka 2pac, ama biggie na pun
ju vile beat ina-bang
nawa-take high ka pombe ya miti na bhang, bless
wanajua vile mi ninakam fresh
swag safi mambo vipi madam- mresh
come close nikupige ka-tongue test
juu hakuna n-gga ready to contest
we ni student keti chini u-learn… threats
hazinitishi nina jeshi ya kamjesh
mi huwa nimewasoma in case wa-turn manyoka
mi huw-nga ni noma mpaka ma-fan huchocha
from bondo, uyoma nakam na slang ya ocha
nimetoka bungoma ka nime-hang kwa chopper
na ma chicki-dee wametucheki jo tuki-keep it g
eastleigh, tukishikisha miti na big g
cbd sisi ndio hupita na simu so mimi ni
shigi-dee- shida ka ugonjwa ilimada eazy e
yaani ukedi, malaria na tb
khali msee niko area na cv
toka uk, mi si mgeni wa hapa jiji
choka na hizo ma-ngoma za nigeria kwa tv
from yemi alade, iyanya mpaka flavour
hawa mafala niaje hujifanya ka ni favour ndio wanatufanyia
na hizo ngoma zinaudhi
they all sound same, kuwa-show mi sina budi
ma-rapper kwa beat ya panda na wana-copy desiigner
wako wengi fake utadhani nairobi ni china
na mimi ni ka machine nikipanga ma-schemes
so usini-compare na sarkodie jo- sarkodie ni minor
marapper w-ngapi kenya wana-do sh-t na-do?
we ume-hit kibera mi nime-hit majuu
yaani sahii nasifiwa na ma-sister du
facts only, n-gga, i only speak the truth
yeah, you was never ready, i got the glock ready
the mac 11 heavy, is very necessary
you n-ggas mary mary, but me i’m makaveli
i’ma pow-pow-pow! till you n-ggas dead and buried
hah! mi ni bobo g, wausema mi hukaa m-congolese
niko na true charms over beats
my n-gga who can bwogo me? papa jones!
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu johnny cash - let there be country
- lirik lagu trainspotters - ingenting
- lirik lagu dvice - háblame
- lirik lagu udo lindenberg - mein ding (mtv unplugged)
- lirik lagu dj alpiste - sem chance
- lirik lagu sk8 - ain’t worried
- lirik lagu don junior - the voice
- lirik lagu jquan collins - back to the lies/ had to
- lirik lagu pitbull feat. blake shelton - get ready
- lirik lagu naive - bastardo