lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu khaligraph jones - rada safi

Loading...

[intro]
niaje?
rada?
i mean, rada inakaa ni safi ama?
rada safi, rada safi

[verse 1]
omollo dongo, generous, hapana ngati
doh nimekafunga siezi mind kupanda basi
naishi vile nataka huwezi kunibamba umati
don pablo, proof kandarasi
i make a living na kalamu karatasi
an entertainer, though sipendi sarakasi
kiki na izi kash~sh~ za media na paparazzi
rada safi, rada safi
utajuaje nina moti kama hujarada car keys?
na ka ni nduthi, brand ka wasaki
and do i have to dumb it down?
ju inakaa hawapati
ka hawataki mi nasema sawa basi
bora leta usingore tukipiga harakati
’cause i’m an artist na nina require ukarabati
kuroga vile naroga zimeriet rada safi
[chorus]
rada safi ayy
rada safi
rada safi, rada safi, rada safi
najipuliza marashi, ndo nifike party
ju rada ni safi
hakuna wasiwasi maswara sitaki
ju rada ni safi

[verse 2]
rada safi, rada safi
for success kijana anakuanga thirsty
i do my best, ju mi sitaki blunder trust me
kuishiwa when am still at the top, kama tuskys
man i’m bad still humble ju anatouch streets
mi lawama kijana hapana ass kiss
rada safi nikishajengea madha kasri
another plus g, i guess it makes a brother happy
warazi wanataka niеnde, mi hu~wonder wapi?
’cause studio sunday tu sunday napanga tracki
i’m so attachеd to the hustle
jaribu ulete zogo nikufanyie venye redsan alifanyia sapit
hapa nafasi ju leo sijakam na kasi
mdogomdogo ndo pace omera you don’t want to rus me
position one iyo story ya namba last, zii
track deep ivo ndo venye mi humurder verse, sheesh
hush please unajifanya huoni pamba safi
black jeans chini na juu nimeng’ara shati
nakaa versace but nilibuy ngara last week
i know i said i’m rich, lakini hasara staki
[chorus]
rada safi ayy
rada safi
rada safi, rada safi, rada safi
najipuliza marashi, ndo nifike party
ju rada ni safi
hakuna wasiwasi maswara sitaki
ju rada ni safi

[verse 3]
ni mara ngapi ntawasho eti rada safi?
na rapper ka mi ndo mpate, you rather lucky
papa jones baba yenyu mi ndo baba rasmi
lastly, thanks g, buda rada safi
na niko chini ya waba nagather mkwanja nasaka cash mi
usinibother naa ka una za ufala ju pesa otas bi
na biashara ni biashara
so ata ukicatch diss, sinanga umama za kukujibishana na rap beef
rada chafu ni rada safi
na ka rada haina khali iyo rada haina ladha basi
i come in peace ka vipande za mananasi
and if man dem wana hate, then definitely man a bad ting
bonga choo na drink yako ntaichanganya na harpic
last n~gga kuzu alibaki hana heartbeat
am a tough street n~gga but only if you attack me
but holy joe, juu kila sunday mi hufikanga church six
rada (safi)
album (classic)
platinum (aki)
mada (graphic)
jah jah (gat me)
d~mn, that’s justice asanti kuniskiza
god bless it’s a wrap peace
[chorus]
rada safi ayy
rada safi
rada safi, rada safi, rada safi
najipuliza marashi, ndo nifike party
ju rada ni safi
hakuna wasiwasi maswara sitaki
ju rada ni safi


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...