lirik lagu khaligraph jones - me siogopi
yeah, ahuu scorpion, ahuu mi siogopi, ahuu yeah, yeah me siogopi, me siogopi, me siogopi, me siogopi leo ni movie mnataka kuona na mi si tokodi(mi si tokodi) visanga tutafanya leo lazima tupatiwe notice(riakakakaka) lakini ambia mwenye nyumba nimesema siondoki(hahahaa) cheki vile nimekafunga boss na mi sio chopi(na mi sio chopi) mapesa najua kutafuata sana na mi siokoti(na mi siokoti) makesi si pia natatua sana na mi sio korti(na mi sio korti) na kale kambwenya kangu ka seko sina, na miss hio koti(na miss hio koti) si tuko kimoja nikisema hawa ma og ni konki(konki fire) wako na kikosi ya mbogi ya odi ya kina munyoki(munyoki murogi) na mi na munyoki tukikuja kwako si hatutoki(no never) na ka una shida kimbia polisi ukapige ripoti(toka kwenda) si aki ya nani leo lazima tuvunje rekodi(vunja kivolume) ju kuna bash ya kuzima wasanii wa ngoma shoddy(zima kabisa) si tuserereka mpaka wathii watoke na magoti(hahaha) but hizi ni vitu si tumezoea si hatuogopi(rrrraah) me siogopi, me siogopi, me siogopi, me siogopi ka ni vitisho tumezoea, me siogopi, me siogopi me siogopi, me siogopi, me siogopi, me siogopi ka ni vishasha tumezoea, me siogopi(rrraah kakakaka) me siogopi, me siogopi, me siogopi, me siogopi me siogopi, me siogopi, me siogopi(si me siogopi) me siogopi(na we huogopi?) me siogopi(ka we huogopi) me siogopi(but me siogopi) me siogopi(rrraah kakakaka) oya gathee, hii si lingala mi sio koffi(mi sio koffi) na ukinihalla nipate java na miss hio coffee(na miss hio coffee) cheki vile mi huwaliza ngori na mi sio kofi(kofi annan) na ukijaribu kuleta nyoko nyoko hapa ni makofi(blurry f”ckin) tabia za pozze zinaweza fanya useme siokoki(aki ya nani) lakini wacha ninyamaze gathee nibaki kwa topic(ukanyamazesh) hii ngoma nimefanya na omollo na mi siwachochi(omollo mgani?) omollo mmoja yule alishinda trophy (brrrraaaah) nishawachanua mi siogopi mi ni kurutu jo mi sio softi ka ni kuroga then mi ndio bossi ka unaugua then hii ndio hosi hii ni beef jo hii sio sossi hii ni hit jo au sio motif k.o.b jo leta hio coffin nirest in peace jo mi siogopi mabuda mnachoma kazi ni ku copy paste hawa ma yungin ndo pia nyi mtrend mbona msikubali mmechapa ni ka mnasaka career zenyu zimeend mnazoza kwa mneti mashow mnapiga na zinafanyika ka kila weekend na ngoma mkitoa the only platform mnapata ni citizen 10 over 10 mi nipe candle siwezi potea ju kitu nafanya ni ngumu kusample(woo) hard kuwa rapper lakini ikibidi namada pia beats za dancehall(rrraaah) favourite rapper wako batty boy tulimpata akinunua tampoons mbogi yangu ya ubakora ni major utatupata na akina kansoul acha kiburi punguza kelele zako pang’ang’a kwa mtaa we ni mwere utageuzwa kichungi ukizidi na kwere nilianza kuhustle enzi za nyerere legendary kama luanda magere nina ofisi huko mwea tebere niko na maratchet wale ukiketi mbaya soda yako watakuwekea mchele before nianze rap hapa kenya kulikuwa na shortage ya sk!ll hakukuwa na talent(omollo) akina pinye walimada industry wakafanya ikuwe barren wakasema nisiroge na ngoso ati sababu sijatoka karen but f-ck you n-gga, guess sai nani anapiga mavideo na kina clarence hbr nangoja mnipigie simu mniambie pole hio top 50 mlitoa inaonyesha vizuri hamkufika hata college ju ka si khali ndio number 1 inaonyesha vile mmedharau jina freestyle zangu ndo most viewed on your channel na bado mnakosa heshima aaah, aki ya nani, eyoo motif imebakia nani mbona wathii hawanitakii amani hii game me naif-ck ninaimwagia ndani nani hapa kenya ameisuk-ma hii culture ya hiphop kushinda omollo?(iyee) k.o.b na khaligraph kwa battle field tunasimama solo ahh unarada fiti kuna wasanii kadhaa bado wasaliti wanasaka kiki, si hawataki kuona sisi tukipaa watafurahi tukikaa kamiti og we are brand them amachichi ama vipi bado mi nafanya mziki if it ain’t about the money don’t tryna reach me nishamaliza hii kitu inakaa mazishi me siogopi, me siogopi, me siogopi, me siogopi ka ni vitisho tumezoea, me siogopi, me siogopi me siogopi, me siogopi, me siogopi, me siogopi ka ni vishasha tumezoea, me siogopi(rrraah kakakaka) me siogopi, me siogopi, me siogopi, me siogopi me siogopi, me siogopi, me siogopi(si me siogopi) me siogopi(na we huogopi?) me siogopi(ka we huogopi) me siogopi(but me siogopi) me siogopi(rrraah kakakaka)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu bob dylan - forever young (slow version)
- lirik lagu saïan supa crew - dernière séance
- lirik lagu daniel santacruz - cuando un hombre se enamora
- lirik lagu scoob dogg - life in da hood
- lirik lagu manman savage - know it
- lirik lagu faberyayo - solonaise
- lirik lagu pop feast - teenage dirtbag
- lirik lagu michael ketterer & united pursuit - coming alive
- lirik lagu cool connexion - hommes de l'est
- lirik lagu buck 65 - white bread