lirik lagu khadja nin - sina mali, sina deni (free)
ahiya, ahiya
kwa baraka
mimi napona
kabisa, ni hajabu
sina mwili tena
niko sawa upepo
mimi masikini
sina mali mali, sina deni
mali yangu baba
ina nyesha kama mvua
ina ruka kama ndege
ina cheka kama mtoto
ahiya, mam’ahiya
sina haja, ya kitu
mimi napona
i’m free, kama maji
anatembeya mpaka katika pori
mimi, mi masikini
sina mali mali, sina deni
mali yangu baba
ina ota kama maua
ina pita kama nyota
ina waka kama jua
pole pole mama
wakati w-ngu umefika, mimi napona
i’m free, kama hewa
ina ingiya mpaka fasi inapenda
mimi, ni masikini
sina mali mali, sina deni
mali yangu baba
ina ona kama macho
ina waka kama moto
ina lia kama ngoma
i’m free kama maji
ana tempaka mpaka kati ya pori
kama hewa, kama macho kama nyota, kama maji
kama mimi leo, mimi napona
i’m free, i’m free
kama mimi leo, mimi napona
ahiya mam’ahiya
sina mali, mungu, sina deni
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu san e & mad clown - 못 먹는 감 (sour grapes)
- lirik lagu hanna paige - without you
- lirik lagu el guincho - muchos boys
- lirik lagu edgar broughton band - it's falling away
- lirik lagu caballero & jeanjass - fdp
- lirik lagu t. krüger - electro ghetto / rabbit
- lirik lagu jean grae - sfsc
- lirik lagu basic boy & glebasta spal - низкий флекс (low flex)
- lirik lagu 509-e - uh barato é louco
- lirik lagu jeff williams - die