lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ken demacra - mary christmas

Loading...

ken demacra
mary christmas lyrics
intro
dollar boy oyeeeh

verse 1
imefika siku ya christmasi
wengine ndo wanaita sikuku
yesu amezaliwa furaha kwa sisi
masauti yanasikia ya kuku

vitungu vinyanya wanapika
msosi tunatafuna kwa haraka
wanaoweza pombe washika
chakula tunakula tunabambika
weka sound kwenye spika
usijepeana talaka

nalamba natamba ndizi natoa maganda
inabamba msamba mbuzi haitaji mirenda
msamba namba eti leo anapanda

wanachemshachemsha eeeeh wanachemsha
wanapasuapasua eeeeeh wanapasua

pre~chorus
watamwaga pombe
watachinja ng’ombe
wataitisha vikombe
tumbo kufura mbele
chorus
ooooh mama christmasi
ooooh dada christmasi
tunasherekea christmasi
happy mary christmasi×2

verse 2
ndo siku ya kuchelewa nyumbani
traffic kwa rodi inaweza
kw~ngu inapenda maini
kuchanganya haitapendeza

give me that one chupa
ukishiba hakuna kutupa
mwambie hata pupa
hii kazi imeapa

sasa pop soda
mademu kupaka podwer
ujiskie kama leader
tena upande ladder

wanachemshachemsha eeeeeh wanachemsha
wanapasuapasua eeeeeh wanapasua

pre~chorus
watachinja ng’ombe
watamwaga pombe
wataitisha vikombe
tumbo kufura mbele
chorus
ooooh dada christmasi
ooooh mama christmasi
tunasherekea christmasi
happy mary christmasi
ooooh mama christmasi
ooooh dada christmasi

conclusion
usiniulize nililala wapi
juu leo tunabambika tunakula kila kitu
kwasababu ni mary christmas
we celebrate the day jesus was born
oyeeeeh


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...