lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu kayumba - nimegonga remix

Loading...

[intro]
aiyo…
oh
kayumba hapa
na mtoto m~bad, eh
[? studio]

mi mwenzenu nauza mboga
nauza mboga
nauza mboga
za majani
mi mwenzenu nauza mboga
nauza mboga
nauza mboga
za majani

[verse 1: marioo]
hii biashara ina changamoto
kutwa mikelele ka mtoto
inanimaliza uloto
kuna muda mpeku peku tu ka mpoto

mi mwenzenu nauza mboga
nauza mboga
nauza mboga
za majani
[chorus: marioo & kayumba]
na ndio maana kwa masha love
nimegonga
kwa rashida wanjala
nimegonga
eh…, kwa jike shupa
nimegonga
kwa gigy hanaga noma
nimegonga ‘milango

[verse 2: kayumba]
ah, mi muuza urembo
toka kitambo
na unga, unga vifaa naeka kwenye rambo
huu urembo, una vijimambo
huwezi uza bila kugonga milango
ndio maana kwa irene uwoya
(nimegonga)
kwa paula kajala
(nimegonga)
oh, wema sepenga
(nimegonga)
kwa lina hanaga noma
(nimegonga ‘milango)

niligonga kwa amber rutty, kafungua mlango wa nyuma
niligonga kwa amber rutty, kafungua mlango wa nyuma
akanunua vihereni na vi rangi
jipake mwenyewe, akasema yе hawezi
nikampaka
nikampaka
nikampaka
nikampaka vi rangi
(nimegonga)
nimegonga ‘milango
huyu dada kaanza kudanga
(mbona bado mdogo?)
anasifika kwa umalaya
(mbona bado mdogo?)
mzoеfu kukalia chuma
(mbona bado mdogo?)
humjui, hakujui
(jishikilie acha shobo)

kuna vidume haviwezi mechi, ‘uongo
havishindi goli eti bila mkongo
kamuulize sharara boy ‘msondo
wanaume wa dar ‘ndio yao michongo
weh, mshike, mshike, mshike, mshike ndege tunduni
weh, kachuma ndizi na bado iko mkunguni
weh, mshike, mshike, mshike, mshike ndege tunduni
weh, kachuma ndizi na bado iko mkunguni
ay~
hunidai (dobo)
sikudai
hunidai (g mauzo)
sikudai
hunidai (waso wiso)
sikudai (g maker)
hunidai
sikudai
ukinichukulia bwana we dada tutauana
ukinichukulia bwana we dada tutauana
ukinichukulia demu mwanangu tutauana
ukinichukulia demu mwanangu tutauana
hey
humo, humo
[achi chi ?]

[outro]
(?)mkono wa picha
(nimegonga)
ah, weh ben q
(nimegonga)
msalimie mkojani
(nimegonga)
wapi dj ai…
(nimegonga milango)
weh, j stereo?
msalimie (?) utawaua

[?on the mix]

nimegonga milango


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...