
lirik lagu kapaso bkp - unanijua ?
ashante ashante shana
nimeipenda sana tabia yako
32 inash~tusha
(unanijua, unaniskia)
shiiii
(beberuu)
(unanijua, unaniskia)
ok sichelewi ku change nikafunga mtaa
sichelewi ku noki nikafunga bar
sichelewi kuleft oya kwa churamaji
yani akijifanya malaya mi hama njia
unacho kifanya tushafanya kitambo
cozi we tozi misif~gili mabango
ku fake life kw~ngu sio mchongo
haina iyo wote mwisho wetu udongo
sioni sababu wekujifanya mimi
nakuchukia sababu uoo ulimbukeni
we muuni we muuni gani unaf~gilia
kama malaya aloona iphone
eeeeh
oya tishia kushoto peleka kulia kata skio fanya chujio
we kushoto peleka kulia kata skio fanya chujio
we kushoto we kulia kata skio fanya chujio
we kushoto we kulia kata skio fanya chujio
naona unaniongelea unanifatilia kibubu kimbuzi
(unanijua, unaniskia)
unanichalazia unanishobokea chawa ki nyang sisi
(unanijua, unaniskia)
naona unaniongelea unanichalazia kibubu kibeberu
(unanijua, unaniskia)
unanichalazia unanishobokea chawa ki nyang sisi
(unanijua, unaniskia)
eeeh eeeeh eeeeh eeeh
(unanijua, unaniskia)
eeeh eeeh eeeeeh eeeh
(unanijua, unaniskia)
eeeeh
oya tishia kushoto peleka kulia
kata skio fanya chujio
we kushoto peleka kulia kata skio fanya chujio
mmmh we kushoto peleka kulia right inauma left inachoma
we kushoto peleka kulia right inauma left inachoma
32 weee inash~tusha
kataka leo kujua kanikuta kimaskani
nakula kula kaniskia hajanijua
leo kujua kanikuta kimaskani
nakula kula mjani kaniskia hajanijua
heeee kaniskia hajanijua
kaskia hajanijua we hajanijua
kaniskia hajanijua we hajanijua
kaniskia hajanijua hee
wanasema nimepinda kibongo
bongo aukamu wanataka kunijua
wanipe nuksi aisee
mi nakesha road kipato changu aukamu
wanataka kunijua wanajifanya
kama wakubwa chini ya jua
easy beat wanataka kunijua
wanajifanya kama wakubwa chini ya jua
we mavoko wanataka kunijua
wanajifanya kama wakubwa chini ya jua
we unaniongelea sijakula cha kwako
sijaiba cha kwako
(unanijua, unaniskia)
ata likitokea noma mtaani wamekula
unataja jina langu
(unanijua, unaniskia)
eti narudi usiku unasema sina kazi
unadai mi kibaka
(unanijua, unaniskia)
tume date mara moja
baada ya siku tatu unasema una mimba
(unanijua, unaniskia)
eeeh eeh ooooh eeeee eeeh ooooh
(unanijua, unaniskia)
unapiga panga nyingi mazuna shang’ai
mazuna shang’ai mazuna shang’ai
unapiga zuna nyingi mazuna
apagawe mazuna shang’ai ooohooo
mwanangu buza buzani hatuachi viporo kwao
easy beat hatuachi viporo kwao
mwanangu adasco hatuachi viporo kwao
wanangu wa chamazi hatuachi viporo kwao
wanangu wa mbagara hatuachi viporo kwao
wanangu wa temeke hatuachi viporo kwao
32 inash~tusha utaacha nguo utaenda uchi eeh
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu sam's - il est temps
- lirik lagu hellaoccupied - rise n grind
- lirik lagu dead poet society - .coda. (stripped)
- lirik lagu roxolana - буде все (everything will be)
- lirik lagu angelofanarchy - void in me
- lirik lagu lexy - 눈물씻고 화장하고 (tears)
- lirik lagu calema & tayc - aimer à moitié (remix)
- lirik lagu tanjung - cerita di senayan
- lirik lagu ja de$ire - function
- lirik lagu loco (로꼬) - 파파고 (papago)