lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu kadason - wa kwangu

Loading...

yeah eh
ihh
baghosha

(jini ex double 6)
sitamani wanishushe hili penzi lifike
tufe wote tuzikwe walimwengu mtupishe
nitakuwa nduli iddi amin kwa penzi lako
iwe nchi kavu baharini nitakuwa mboni yako
nashukuru nimekupata
tunavyopendana ni kama mapacha
nashukuru nimekupata
tunavyopendana ni kama mapacha
(uh uh huu)
maana huyu (wa kw~ngu pekee yangu)
ah haina kushea (wa kw~ngu pekee yangu) uh
nimejipata kwake (wa kw~ngu pekee yangu) ah
maana huyu (wa kw~ngu pekee yangu)
my we my wewe my wewe
my wewe wa pekee yangu
peke yangu
nimeshacheza sana ndondo
ndondo mipira ya peku
ila we pekee ndo uliogundua kipaji changu
nimeliweka la kwako moyoni
mpaka kinywani siishi kulitaja
umenifanya nipende kiundani
wanipeleka mbali nikibanwa haja
nashukuru nimekupata
tunavyopendana ni kama mapacha
nashukuru nimekupata
tunavyopendana ni kama mapacha
(uh uh huu)
maana huyu (wa kw~ngu pekee yangu)
ah haina kushea (wa kw~ngu pekee yangu)
uh nimejipata kwake (wa kw~ngu pekee yangu) ah
maana huyu (wa kw~ngu pekee yangu)
my we my wewe my wewe
ah aah aah
music


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...