lirik lagu kaboy - kibiriti
intro
oh na na na na na eee (this is six record)
sajoooooo
verse 1
tikisa kibiriti ka kina njiti
sikuizi bila kiki kitaani husiki-ki
usihoji ni vipi kwa beat na fiti
kaboy bad boy sitishwi na snitch
juu kwa juu naelea (ahhh)
ka mshamba huwezi kuelewa
twende sawa kama pair
ka nawe wataka kuelewa
mikono juu am like (yeah!!)
yap ujakosea am the one man army
bila tag nasogea ( holaaaa!)
hook
kitaani nadunda na nesa
namsaka yuda na mkunja na mcheysa
jali muda ili usije ukachekwa (men!!)
street best loser anaongoza kwa penta
chorus
tikisa kibiriti ti ti (yeah!) kibiriti
tikisa kibiriti (ah!) kibiriti ka kina njiti
we tikisa kibiriti ti ti (yeah!) kibiriti
tikisa kibiriti (ah!) kibiriti ka kina njiti
verse
j-po mi ni taleban kid ila street ndo cool kid (ya!)
taleban kid sina skendo ya kuvuta weed (tena)
taleban kid nipo fiti kila angle
na na tema flow kali heavy weight kama tembo (haaa!)
mi sina hofu wala wasi
kwa kila beat mi nafanya ma-asi
tikisa kibiriti ka umepata nafasi
ila tikisa fiti usitikise kwa kasi (aa yeah!)
kaboy ndo bad boy
ninja toka kinda so boy you should know
usiponde naringa wakati you don’t know
who am i kwa kila beat mi ni so
mi ni so so am so fresh so cash
ndo itakufanya uwe the best (oh oh)
hata uwe na six pack’s pia
bila pesa kwa kitaa mademu watakukimbia
chorus
tikisa kibiriti ti ti (yeah!) kibiriti
tikisa kibiriti (ah!) kibiriti ka kina njiti
we tikisa kibiriti ti ti (yeah!) kibiriti
tikisa kibiriti (ah!) kibiriti ka kina njiti
verse 3
na wana wamezidi pozi tena wamezidi pozi
kitaani naitwa tozi na bado nagawa dozi
mkweli fundi kinyozi natoka chafu pozi
ni-follow ig fb utanikuta nipo og
k-a-b-o-y the bad boy himself hustle till i die
iseee na fly bila mbawa kama twende sawa
nikupe tungo zenye dawa upate power (aaaghhh!)
hook
kitaani nadunda na nesa (nesaaaa)
namsaka yuda na mkunja na mcheysa (wasiiii)
jali muda ili usije ukachekwa (men!!)
street best loser anaongoza kwa penta
chorus
tikisa kibiriti ti ti (yeah!) kibiriti
tikisa kibiriti (ah!) kibiriti ka kina njiti
we tikisa kibiriti ti ti (yeah!) kibiriti
tikisa kibiriti (ah!) kibiriti ka kina njiti
outdo
ti ti ti
oh oh
zuzumoya
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu koen crucke - af en toe
- lirik lagu hayley crymble - hurt me again
- lirik lagu wiley - tim westwood epic freestyle
- lirik lagu teryos - lately
- lirik lagu brian mccomas - 99.9% sure (i've never been here before)
- lirik lagu re4se - hawaii time
- lirik lagu maut - indipendentemente
- lirik lagu ljótu hálfvitarnir - ást, ást, ást
- lirik lagu elgrandetoto - nodawanod
- lirik lagu eddie bars - bring it back