lirik lagu k son rap - nawakilisha
(duga mawe verse 1)
nawakilisha tmk kwa hizi nyayo za mbagala../
ni kweli hukosei kizazi kimetikea nyamala../
nawakilisha ndani ya fani hii ya sasa hisia za kale../
nawakilisha thamani tunaoishi maisha ya tandale../
nawakilisha wafalme wanaoishi kitumwa../
wakilisha yako subira ukiamini zitachumwa tuu../
naa wakilisha mchaka mchaka wa uswazi../
nawakilisha kiburugwa charambe na chamazi../
nawakilisha matumaini usijione kiwewe sauti inafika mbali makazi m’bande kisewe../
nawakilisha hip~hop toka ndani ya moyo../
daima nitauwakilisha tu uadui kwa wachoyo../
(bunaya verse 2)
oii oii kama saigon ebwana dar../naiwakilisha dar es salaam ebwana raha../naiwakilisha rap kwamichoro inanga’a../inakuwa so crean lake a king haa../nawakilisha (bny cypher) do or dae never stop kama baisa../
saka mashilingi kama uko na taita../ganja kali nyingi yani ka tupo jamaica../naiwakilisha k nyamala my hood../ndo mitaa ninayo toka it’s good../no body i fear in mood../i am iron am not a wood
nawakilisha tng..tanga boy..
(ksonrap verse 3)
nawakilisha kino clain..nyota mabegani kama captain..
nawakilisha unyama unyamani kino nimeiweka kiganjani..
utanieleza kitu gani..nawakilisha sogodo ndani ndani uswahilini…
nawakilisha hiphop..mpaka siku mwisho napolala kaburini..kwenye huu utamaduni.. napo ghani..nawakilisha wanangu kiotani..
black people..namuwakilisha martin luther king
(i have a dream)..nimeshuka toka sky nawakilisha aliens ..madini na wakilisha apolo mirerani migodini..bungeni wabunge..mnawakilisha wananchi hali duni..majimboni..mwanajeshi na wakilisha kikosi cha handakini..nipo makini nawakilisha kaskazini..
(bassat waboe verse 4)
eyo!..nawakalisha lwama kgm../
nawakalisha machaka kama laki na m../
nawakalisha bongo dsm../
katika nchi dodoma mbeya na demu../
nipo kinondoni mosko..
cheddar kidogo wananiita boss mtoto../
msemaji wa watu..
nahesabika kama sensa na makazi ya watu/
kinondoni shamba mpaka brazil../
ni sauti yangu tu wanangu wana mix reel../
mw~nga kwa mchaga majengo na katubuka../
masanga hadi mlole navamia migebuka../
nawakilisha tausi mandege wakubwa../
nawakilisha hip~hop mashati makubwa../
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu verndolla$ - i ain't no fashion nigga !
- lirik lagu quistone - enigma
- lirik lagu bite59 - вскрываемся
- lirik lagu og alah - 3 пушки
- lirik lagu auto music - misunderstood
- lirik lagu divljak - zove grad
- lirik lagu paul sies - das schlagseiten mädchen
- lirik lagu dysplay - for the ride
- lirik lagu mamura - сеньора
- lirik lagu lilgiela33 - jamal