
lirik lagu k son rap - haujui verse 1
oiii oii haumjui saigon old school un~z~penda freestyle haumjui ata hasheem yani dogo wendawazimu..hamjui soggy doggy hotpot family haumjui suma g..una chana chana tu haujui usanii ni kioo cha jamii..haujui dogo janja ni kioo cha madee..na kweli utajua haujui chiku k..hauna sk!lls kama ebby unataka kuwa deejay..hauna technique kama jay..unakaa kaa tu maskani unavuta tu majani na haupajui bongo record..upo kiwa side na haumjui pig black..p the mc
kizazi hiki tiktok humjui d~kn~b..ni kweli upo mikononi mwa polisi maisha yako bado ni mikosi na haumjui mr2 yani sugu.. na unapiga tu majungu..haujui majungu sio mtaji mungu ndo mpaji haujui??..upo tanga sikatai huwajui ata wagosi..inabidi uwe mtambo kama jos..unajifanya mtu itikadi misimamo haumjui ata dan wamifano.. haumjui hongera wa michano..baba nipe tano..
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu hicksu - hypocrite
- lirik lagu 1k tae - m.o.p
- lirik lagu southern wire ends - home
- lirik lagu 8blevrai - maría
- lirik lagu caanis - pengék élén
- lirik lagu myejah - révolte
- lirik lagu mientrastanto - loco
- lirik lagu big xshon - better off alone
- lirik lagu foolboi sasha - тот самый пацан (that guy)
- lirik lagu rainbow123 - closure