lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu k son rap - call me

Loading...

nani mwenye uwezo wakuchora verse kama hii../angie booth atoe vocal kama hii../producer mkali wakupiga beat kama hii../mcee mahiri naechengua kwenye crowd kama hii../hajirudii ikipita siku kama hii../yenye mizuka na mavibe kama hii../freestyle yenye vina kama hii../sihofii nawapigia flows..za kitaichii../mkali wa fasihii..kioo cha jamii../naongeza tu bidii../
utaniskia kwenye redio..utaniona kwenye tv/napiga punchline kama hii../pisi kali n~z~tafuna n~z~tema kama big gii../bars after bars n~z~gawa for free..


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...