lirik lagu k.c.k(kid can kill) supremacy{spack dawg & boox} - bigidiboost
intro:
sigidi nimekwama nipelekeni kwa mwakasege,migidi mistari sio ugonjwa wa degedege
kck,kid can k!ll supremacy
verse one: (sp-cdawg)
kigidi chi kid keiyaa
kigidi kid can sio mororo
namigidi mpaka toyo hazina mzuka wa kudoroo
nabigidi baa,bigidi bia kunywa saba,yeah
nadigidi dada mmoja nigidi mraka wa mazaga
ni kwikwi, ni nigidi nigidi kesi bana kwibi
nabigidi baka baku nimetimba na bisbis,nasigidi separate nisije bambwa na polis
kinachi,nayigidi yechu yechu nigidi nachi nachi yachi
yankibadachi,sisigidi kopi,pigidi paste za kichina,nasigidi sema bongo zigidi elimu zimechina,kapeche, nafigidi fasi dwasi kuna mrako yuko apeche,nasigidi some of searching tigidi tanchi ili nisepe,nasibidi dibidi punch of my lunch,bunch, nigidi leta kesi nigidi niko das efx,na nigidi kc kex tumeshikwa na ma efx,chex,nakigidi kwa kiburi digidefxtro advocate,nanigidi ngoja boox,kigidi kwanza nikamoke,dopromke,nasigidi sepa ghetto nimepiga ugali dope,nasigidi migidistari mpaka satani aniogope,nasigidi migidistari, mpaka satani aniogope
chorus:
nabigidi nimeboost
nabigidi nimeboost
kama booster za mamraka wenye uchina kwenye booster
nabigidi nimeboost x2
nabigidi nimeboost
kama booster za mamraka zenye uchina kwenye booster x2
verse two: (boox)
kigidi kata pingu
natupa verse ajabu fasi ya mbingu,bigidi boox bigidi hoops,nigidi nilisoma na kipingu,rungu,libidi rigidi rungu,mrachu,anahanya digidi dungu,nasigidi some of people,napigidi pita sipo nikogo zangu metropole,porimpo,napigidi amsha popo,porks,kikidi kula kikidi kitimoto,nafigidi fasi ya dready kama fasi ya mrisho mpoto,mtoto,tukutu kama mtoto wa digidi doggy,nadigidi pita fas ya figidy fasi ya dofobi,kikidi kata blanket,digidi la baridi,kidi,kikidi kckex ni mamluki,uzushi,pigidi pandikizwa na bufushi,pigidi pelekeshana dada hawa mandifing’o,nigidi lete tende sagada ya babu wa mbufung’o,sigidi na usongo kikidikaa mzee kisongo
chorus:
verse three: (moplus)
bigidi najiboost najikoki,bigidi toa lock daybreak,migidi mishe mishe sina mcheche,nigidi nidakishe fasta fasta mi nisepe digigi dope nijichome ramani zangu tuzisome,bigidi bapa nigidi nyagi,figidi fasi dwasi,digidi dwanzi amesizi,migidi mzame kwenye pochi,kidonchi,bigidi ibuka na handkerchief,anafeel kichefchef,kck na wa ukoo,tunafanya move,migidi ment,nigidi noiz migidi mekah,full tym heka heka,migidi mic,chikidi checker,ni bigidimeku ndo nasepa,gyea
chorus
outro: kigidi can k!ll,wigidi we in efxtro,chigidi check,our structure,digidi d efxtro,sigidi see,how we flucture,the gold school,kid can k!ll supremacy
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu original flow mastaz - degré zéro
- lirik lagu tarik (iranian group) - talghin
- lirik lagu the vandals - that's my girl
- lirik lagu sdp - die nacht von freitag auf montag
- lirik lagu young hustlers - mbali
- lirik lagu badoxa - controla
- lirik lagu otgmg - war
- lirik lagu dubble g - hydroponique
- lirik lagu big thief - wolf
- lirik lagu el stranjah - boom boom boom