lirik lagu jux. - umenikamata
nisikilize ninavyoimba (imba)
na pia navyopiga gitaa
naona watu wamependeza
nyuso zao zimejaa furaha (furaha,ahhh)
najua ujue leo hii
kitatokea nini
najua ujue leo hii
nitakuambia nini (nitakuambia nini,darling)
(chorus)
i do these for you (these for you)
i do these for you (these for you)(i do these for you)
i do these for you (i do these for you)
these for you (i do these for you)
i do these for you (i do these for you)
these for you
najua napenda kukuona wewe
ukiwa na furaha (ahhhh)
najua thamani na heshima yako
kweli unanifaa
umenikamata weee
umenikamata x 4
haki ya mungu wewe ni mzuri
you are so beautifull
na mungu kakujalia
huna chembe ya kiburi
wewe ni msafi wa roho
i dont wanna let you
go
i wanna marry you
girl and nothing comes between us
am gonna give you
my loving and make them
wanna be us
(chorus)
i do these for you (these for you)
i do these for you (these for you)(i do these for you)
i do these for you (i do these for you)
these for you (i do these for you)
i do these for you (i do these for you)
these for you
najua napenda kukuona wewe
ukiwa na furaha (ahhhh)
najua thamani na heshima yako
kweli unanifaa
umenikamata weee
umenikamata x 4
(bridge)
mamy namuomba mungu
akulinde (akulinde)
akutunze na watoto uniletee
wewe ni furaha yangu (yangu)
maisha yangu (ni wewe)
ni weeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
najua napenda kukuona wewe
ukiwa na furaha (ahhhh)
najua thamani na heshima yako
kweli unanifaa
umenikamata wee
umenikamata x4
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu zenami design - twelve days of undertale
- lirik lagu ha hyun woo - 설레이는 소년처럼 (shy boy)
- lirik lagu glass cloud - how to survive suicide
- lirik lagu chill bump - alpha
- lirik lagu brian mazzaferri - lime green lamborghini
- lirik lagu iván nieto - sabiduría
- lirik lagu dire bloom - wither
- lirik lagu cousin stizz - lambo
- lirik lagu rage nucléaire - revel in bones
- lirik lagu kllo - take us to the grave