
lirik lagu jux. - si mimi
[intro]
heyyyy yee
yeyi yeee
[verse 1]
eh nitazunguka dunia
nitangaze sifa zako, uzuri wako
siwezi fanya siri
wanibebeshe gunia
na zote dhambi zako, sumu yako
imetawala mwili
[pre~chorus]
si mimi
ni akili yangu
si mimi
ni moyo w~ngu
si mimi
ni mawazo yangu
si mimi
labda roho yangu
[chorus]
mimi bila we
mimi bila we
mimi bila we
si bora waniuwe
mimi bila we
mimi bila we
mimi bila we
si bora waniuwe
eeeehh
oooh
aaah
[verse 2 ]
we ndo daktari
mponya maradhi, yani kama zali
zali la mentali
nakupenda kweli
hilo liko wazi, jua ukinitupa
utaniachia simanzi
[pre~chorus]
si mimi
ni akili yangu
si mimi
ni moyo w~ngu
si mimi
ni mawazo yangu
si mimi
labda roho yangu
[chorus]
mimi bila we
mimi bila we
mimi bila we
si bora waniuwe
mimi bila we
mimi bila we
mimi bila we
si bora waniuwe
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu imagine dragons - lab rat
- lirik lagu amir ribar - stable
- lirik lagu chloe moriondo - hate it
- lirik lagu chileton tv - volemos (guaracha)
- lirik lagu мёрфи (@prostomurphy) - гудини
- lirik lagu sum sum elite & maître pims - maître pims
- lirik lagu q lazzarus - my mistake
- lirik lagu mudvayne
- lirik lagu rayvanny - ni mungu
- lirik lagu venlakid - broke