lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu jux. - bado yupo

Loading...

h~llo, habari gani?
h~llo oh ooh, unaitwa nani?
h~llo, uko gizani?
h~llo, kuna tatizo gani?

basi we nieleze
palipokaza nilegeze
you’re so beautiful baby
ah huendani na mawazo mama

huwezi kushindana na moyo wako
usijiumize aah
mimi sio mbaya wako
nisikilize

bado yupo yupo kwanza
bado yupo yupo sana
bado yupo yupo kwanza
bado yupo yupo sana
kushindana na moyo wake

bado yupo yupo kwanza (no, no)
bado yupo yupo sana (eh, yeah)
bado yupo yupo kwanza
bado yupo yupo sana
anataka awe peke yake
bado, ah nah nah nah nah
hana ulinzi wa moyo tena aah
wake uaminifu umekufa mazima aah

mapenzi yamefanya asile
mapenzi yamefanya asilale
chochote nachomwambia bure
anaona nampigia kelele

ila ati anashukuru mungu
alipofika panatosha
ata na mzigo mzito wa mapenzi
ameutua amepumzika

yaani hataki tena
bado mapemam
hataki tena
vurugu za mapenzi zimemchosha

huwezi kushindana na moyo wako
usijiumize aah
mimi sio mbaya wako
nisikilize

bado yupo yupo kwanza
bado yupo yupo sana
bado yupo yupo kwanza
bado yupo yupo sana
kushindana na moyo wake
bado yupo yupo kwanza
bado yupo yupo sana
bado yupo yupo kwanza
bado yupo yupo sana
anataka awe peke yake
peke yake, peke yake

hana ulinzi wa moyo tena aah
wake uaminifu umekufa mazima aah


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...