lirik lagu juma nature - ugali
[verse 1]
washa video
wewe mtoto acha ujinga, asubuhi, asubuhi tu niwashe video?
nimesema washa huko!
nitakudunda ’em toka hapa
washa video huko!
si nilikwambia unipikie ugali na samaki wewe si ukakataa
sasa nini kinacho kufanya mpaka unashangaa?
kukataa ugali ujinga sio u bosi
sana, sana ukila utakuwa umepunguza mikosi
we bwana w~ngu umesikia ‘ukiuacha ugali bwana utaujutia
watu wengi ugali wanajilia ‘mi naona kila kona wanausifia
[verse 2]
ni starehe ya ngama ‘kwa ajili ya watu wa mungu ambao tumeshaungama, kwa maana
unga si (?) starehe yake ku k~moyo
atakula kila mtu hatakama kibogoyo ‘si hata mumunya
usimuonee gere mwenzio ka mwendo wa kung’una
uso kurukunya, kurukunya
mzushi tu nabana hata pasipo banika
mu~mubaya, te~tesi mtu wa kuzua kesi kesi
ushajiona kinara
ugali mwendo slow wala hauitaji hasira
likiwa gumu, twende
likiwa tepe, twende ‘mzinga wa kiringi, chacha muekee mbilimbi
hanyanyuki mtu hata upige filimbi (?) sanifu unga unaita uchafu
unafikiri vipi kuna lipi, pana lipi
si unasema ugali mtoni wanakula ngombe
kaa na (?) mjomba, ‘usiombe tonge
hebu tuachie sie wadude tusonge ‘yasije yakakukuta yaliyomkuta kibonge
kijana aliye ivamia hile minyama ya mafuta
kesha dead (?) kufa
[chorus]
mi ndio sir, mi napenda ‘ugali
p~funk nae anapenda ‘ugali
sewa side nao wanapenda ‘ugali
ugali, ugali, ugali
mwananyamala kwa makoma ‘ugali
ilala, amana center ‘ugali
(?) huko temeke ‘ugali
hey hey hey hey ‘ugali
[verse 3]
tembele bamia sunga uf~gio samaki
ukiutukana ugali haki ya mungu ‘nakushtaki
kilicho baki eh
mjomba (?) usimbakishie, anaweza akatupa ‘mwisho wake ni mkong’oto
vipi ugonjwa? chanzo mafuta mafuta
ndio maana ile mijitu mibonge inakufa kufa
mara utasikia kadondoka chooni ka wehuka
na hii ni kwa kuwa mchoyo tu ndugu unawanyima
lizomeeni hiloo…
ooooh, ‘hata aibu haoni
jaza mapokoko manjari yaani maugali yaliyo changanywa na nyanya mbovu yaani masalwa, yaani zile nyanya ambazo zimekwisha oza
ili tukae vizuri njaa ya leo kuipoza
iwe kwenye ma hoteli makubwa ndivyo hivyo tu ‘tunapona
ladha yake tamu uzuri nakitoa kitu
upungufu wa kinga malaria tambaa na mk~mbimanje
hisia za mzee kimunje ‘max anaongea kiingereza kuonesha msisitizo (okay)
na lile tumbo lake alilipata kwa njia hizo
santana, nunda, swebe, nguchika tumeunganika ‘mule mule
kunako ugali mduanzi hutii mistari ‘hata tukiweka mchuzi haki ya mungu huchovyeki
kwasababu bwana mdogo unakanda hauzoeleki
ponda ugali msonga mwiko ‘wenye mboga hafifu tena zile za mchanganyiko
mi naonaga safi tu ugali nchapewee ‘mpaka kisogoni
madokta wanamshauri hata mgonjwa wa ukimwi
kujisevia ugali tena na mboga za majani ‘si utani
(…)
puliza!
wa moto huo
(okay)
[chorus]
mi ndio sir, mi napenda ‘ugali
p~funk nae anapenda ‘ugali
sewa side nao wanapenda ‘ugali
ugali, ugali, ugali
mwananyamala kwa makoma ‘ugali
ilala, amana center ‘ugali
(?) huko temeke ‘ugali
hey hey hey hey ‘ugali
(instrumentals)
[chorus repeat]
mi ndio sir, mi napenda ‘ugali
p~funk nae anapenda ‘ugali
sewa side nao wanapenda ‘ugali
ugali, ugali, ugali
mwananyamala kwa makoma ‘ugali
ilala, amana center ‘ugali
(?) huko temeke ‘ugali
hey, hey, hey, hey, ‘ugali
[hook]
kila mtu bongo anapenda ugali
ugali na matembele
unapatikana kwa gharama nafuu
chakula asilia, asili ya afrika
sote tw~tambua ugali
(okay)
[chorus]
mi ndio sir, mi napenda ‘ugali
p~funk nae anapenda ‘ugali
sewa side nao wanapenda ‘ugali
ugali, ugali, ugali
mwananyamala kwa makoma ‘ugali
ilala, amana center ‘ugali
(?) huko temeke ‘ugali
hey, hey, hey, hey, ‘ugali
(instrumentals)
[outro]
puliza!
wa moto huo!
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu miksu (rus) - надеюсь ты не просто опыт (ihunje)
- lirik lagu umbrabyte - comedy and tragedy, for your entertainment!
- lirik lagu dynasty foxx - never change
- lirik lagu anna bates - navy blue sheet blues
- lirik lagu артем чугуєв (artem chuhuyev) - seven nation army
- lirik lagu nobodylikesbirdie - nouveau mec
- lirik lagu nudge squidfish - jim & roxanne
- lirik lagu st2t7c - peacemakers and peacekeepers. 2004-2006
- lirik lagu even blurry videos - половинка (english cover)
- lirik lagu ox33n - 3.33