lirik lagu juma nature - hali ngumu
[chorus]
hii hali sasa imekuwa ngumu
inaponza tukajifunza roho ngumu
kila nikitazama naona sumu
kiasi ambacho mimi nakula ndumu
(aah…)
hii hali sasa imekuwa ngumu
inaponza tukajifunza roho ngumu (aah…)
kila nikitazama naona sumu
kiasi ambacho mimi nakula ndumu
(aah…)
[verse 1]
sisi tuna shida ‘tuna sambaa na shida
na hali ilivyo ngumu hata viatu sina
na~nashindwa kuvumilia ‘lakini nitafanyaje
ada haijalipwa ‘shule nimef~kuzwa
naona hivi sasa mimi nimeathirika
na hivi ni sababu dingi amepigika
mtu anaumwa ‘unakataza tiba
nesi kazama ‘ukitaka huduma lipa
na mimi sina kitu jama mwenzenu (?)
kweli hii sasa imekuwa ngumu
[chorus]
hii hali sasa imekuwa ngumu
inaponza tukajifunza roho ngumu (aah…)
kila nikitazama naona sumu
kiasi ambacho mimi nakula ndumu
(aah…)
[verse 2]
kichwa kijauma jua limech0m~za
na njaa haina chuki nyongo imepooza
nabaki nalia ‘na machungu, mura
usawa huu unabana mf~ko umetoboka
tw~taka ridhiki ‘nabaki kubangaiza
mbele sioni ‘nahisi nipo gizani
hata nikilala usingizi haupatikani
chakula hakuna ‘naenda na nusa, mura
mama wa jirani katika sambusa, mura
imekuwa ndio kosa mtoto kataka kula
[chorus]
hii hali sasa imekuwa ngumu
inaponza tukajifunza roho ngumu (aah…)
kila nikitazama naona sumu
kiasi ambacho mimi nakula ndumu (aah…)
hii hali sasa imekuwa ngumu
inaponza tukajifunza roho ngumu ( aah…)
kila nikitazama naona sumu
kiasi ambacho mimi nakula ndumu
(aah…)
(instrumentals)
[outro]
(aah…)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu tomorrows another day - reeks of cabin fever
- lirik lagu moron - choppa
- lirik lagu bjoern - get the f out
- lirik lagu doxx - loin d'ici
- lirik lagu grinta - affilato iii
- lirik lagu farzad farzin - chikeh chikeh
- lirik lagu hobo johnson - metaverse
- lirik lagu mr. boringsworth - hey battler
- lirik lagu şad, hermesdeniz - güzel çiçekler soldu
- lirik lagu benjicold - dirty