lirik lagu juliani - bahasha ya ocampo
chorus (jaya)
niliponea bahasha ya ocampo
lakini kenye naogopa hata zaidi
finger of god
ikini-point
yule yule yule yule
yule yule, yule yule
yule yule yule yule
yule yule, yule yule
verse 1 (juliani)
politicians wanabonga mob
that’s why kwa parliament kuna speaker
ndio ujue
vitu ziko wrong
pedestrians wanapisha gari kupita
kwa zebra crossing
kama una chuki nami heri
ni-poison na rat and rat
kuliko uninunulie p-ssat
funds za elimu free inalipia mtoto wa minister private school fees
kukuwa mtu mzuri ni hatia
walinishuku niki-offer mrembo lift kwa njia
tafadhali samahani shukran
ni terms zimepotea kata tu kwa skin ya msudan
kisu ni cutlery
kwa mkono ya roho mbaya nisi-lie na-increase casualties
ukipenda utamu ya sweetie kuwa tayari kuvumilia cavities
(chorus) jaya
verse 2 (juliani)
maboy ni wa-humble
wakiwa na warembo
trouser inateremka down to earth
wanapenda from the belt down
si from the belt up
flower, coffee, movie si free
pakipa nikiku-hug haimaanishi naku-love
after episodes za tyra banks
wanadhani urembo ni kuvaa tighter pants
wanafunika less
so na-address
hizi issue
mguu split ka sign ya peace ka dbd
ni ma-player, wanahitaji cds
sell self, wanaume
ni river
upate bank
lazima u-get wet
hio ndio advice tunawapea
njaa hustler fala
chorus (jaya)
verse 3 (juliani)
unatumia panadol kutibu h1n1
there’s none but one
kwake uje
zingine zote
ni ka watchman kulinda police station
haisaidii, walivaa high heels
wakaribie heaven
nili-bend knees
nika-touch heaven
mtulivu husema sorry zitabaki thirty two
mjuaji usimpikie githeri, ni ngumu ku-chew
mwili yake ilipata shimo ka flute
yesu, kupata haikuwa flukes
after ile kisa eden
ngumu kupata visa heaven
great mathematician
alitoa one earth, ndio apate all together heaven
chorus (jaya)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu gebroeders ko - boten anna
- lirik lagu the taxpayers - atlanta's own
- lirik lagu the cog is dead - prepare for adventure
- lirik lagu anime project - namikaza sateraito
- lirik lagu max enforcer - rambo is a pussy
- lirik lagu da kid gowie - lookin' ass bxtches
- lirik lagu instalok - disappear
- lirik lagu blues saraceno - dirty money
- lirik lagu quintino - blow up in ya face
- lirik lagu stevie mcfly - skinny&pretty