lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu jua cali - mtu saba

Loading...

[intro: mahatma, nonini, jua cali]
hawa wasee hawakuangi wamenibamba
jua cali sijui nonini, mahatma
kawakuangi wamenibamba
kwa sababu hawakuangi real

labda, si ni wageni
mtu saba
labda, si ni wageni
mtu saba
labda, si ni wageni
mtu saba

[verse 1: nonini]
labda veve yangu ya leo ndio imenitupisha mbao
labda naandika hii ngoma na sijui mi ninayo
labda manzi yako pia hana habari na anayo
labda beste yako mmoja ashaipita nayo
labda alirudi pia akapatia mwalimu wao
labda mwalimu wao alipatia pia walimu wenzake
labda mmoja alirudi akapatia bibi yake
labda bibi yake alipita pia na mboch wake
labda mboch wake alipatia pia mtoto wake
labda mtoto wake aligawa kwa dereva na makanga wa namba nne
labda hesabu iliongezeka ikafika soo nne
labda mmoja wao ni manzi yako ule mwingine
ama tumerudi pale pale mahali tulianzia
ama wale wale jamaa tunapatana nao kwa njia
wengine wanahama
wengine wako tu base wamesimama
wengine wanatembea
wengine wako mlangoni kwa matatu wanabembea
wengine wanauza duka
wengine jana walikuwa mafala lakini leo wameshtuka
wengine wanacheza mpira
wengine walikuwa na deni
na sasa wanafikiria kulipa
kuna buda flani alidedi zamani
aliuliza si ni wageni wa nani
kijana labda unaeza niambia
si ni wageni wale
si sisi si ni wageni wale
si sisi si ni wageni wale

[verse 2: mahatma]
si ni wageni wale kuja kwenu ka tumebebana
si ni wageni tukitoa njumu mapua mn~z~bana
si ni wageni wale huanza kula na mkono hatujanawa
si ni wageni wale hupita na mobile zenu mkikaa mbaya
si ni wageni wale ukituuliza ka tunataka chai
si ni wageni wale hujibu ndio na mkate na mayai
si ni wageni wale tukishika remote ma~channel tun~z~chokora
si ni wageni wale huchafua choo saa zote tukinyora
si ni wageni wale hukuja kwenu siku za bash pekee
si ni wageni wale hatukujangi kwenu ile siku mmepika sembe
si ni wageni wale hutokea poof! na hata hatukupiga simu
si ni wageni wale huchelewesha kwenyu mpaka saa sita usiku
si ni wageni wale huwacha kitu kubwa kwa choo mpaka ukijaribu
ku~flush mara ka thao bado haiendi
hii maneno ya ma~floater jo mi sipendi
si ni wageni hutokea siku ya harusi hatutokei siku ya mazishi
si ni wageni wale hukuja kwenyu saa saba
na dishi ilikuwa imehesabiwa tu ya mtu saba
dishi ilikuwa imehesabiwa tu ya mtu saba

mtu sa mtu sa mtu saba
[verse 3: jua cali]
mtu saba ndio aliiba kwenu juzi
mtu saba alipiga babako ngeta juzi
mtu saba alikataa kulipa kwa matatu jana
na hiyo matatu ikaingia kwa karao si waliitana
mtu saba walipigia manzi yako combi
mtu ndio ni saba hapendi piga makofi
mtu saba wanataka kunirusha manzi yangu
na hao mtu saba ni ma~h0m~ wanapigania haga yangu
na wengine saba wamechora saba kwa keja yangu
mtu saba peke yake walikuja kwa ile show yako
na hao mtu saba bado walikataa kulipa kwa mlango
mtu zaidi ya saba wali~squeeze kwa gari wakitoka klabu
mtu saba kabati after hiyo gari kuchotwa na matatu
mtu saba wanataka kuchoma kanisa yetu kesho
na we ni mtu wa saba kufikia nyamazia hivo hivo(madevo)
mtu saba walishikwa mount kenya wakipalilia bangi
nilistuka vile niliwaona kwa tv, k~mbe mabeste wa mtaani
mtu saba, mtu saba
nilifuta story yao
sababu walikuwa wanasema mi si mkali
mi si mkali

labda, si ni wageni
mtu saba
labda, si ni wageni
mtu saba
labda, si ni wageni
mtu saba
labda, si ni wageni
mtu saba
(mtu saba)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...